Rejao Uko wapi?

B52 !
Kwanza niku'hongere ,
pili
nikwambie usipate shida kuwatafuta mahasimu wako mida hii, bado mapema sana! Huwezi wapata! Zodoko limelitanda!
Watu wazima nyuso zimewashuka .
Maeneo baadhi yana kelele za shamrashamra!
Na upande wa pili pako kimyaa!
Ni sauti za Bundi tu, ndiyo zisikikazo.
 
Kuwa mwanachama wa chama si kumkubali kila mgombea.

Rejao huna cha kuona aibu wala kujificha, njoo na macho yako tu.
Yatani-melt as usual.
 
Jamani Erick.... maisha sio Siasa tu, kwa taarifa isiyo rasmi shemeji yangu huyo leo anamsindikiza klinic mke wake Cantalisia mana wanahisi ndoa imejibu. Akimaliza hapo lazima atatia timu hapa!

BTW Hio kauli ya Rejao ni kweli, ila kumbuka kuna kitu kinaitwa Revolution, na that is what is happening....
 
Canta anambembeza usiku kucha hajalala

Mambo BW,
Naona B52 leo kamuamkia mme wangu,
Rejao wangu mzima kbs na jana alilala japo uchovu kidogo but he is fine!

Tulikesha kidogo but tulikua tunatafakari ni mji gani dunia utakuwa mzuri kwa mapumziko baada ya mie kujifungua!
 
Mimi naomba atakaenionea kijana mtanashati anaejulikana kwa jina la PASCO tafadhali amjulishe anauliziwa kwa mapenzi tu ya dhati. Napita kila kona kumsaka bila mafanikio,inaniuma sana.
 
Jamani Erick.... maisha sio Siasa tu, kwa taarifa isiyo rasmi shemeji yangu huyo leo anamsindikiza klinic mke wake Cantalisia mana wanahisi ndoa imejibu. Akimaliza hapo lazima atatia timu hapa!

BTW Hio kauli ya Rejao ni kweli, ila kumbuka kuna kitu kinaitwa Revolution, na that is what is happening....
Heshima yako Big sisy,
Wala huajakosea sisy wangu mambo ya siasa sasa yameshaisha,
Tuko bize sasa tutatafuta mji mzuri dunian ili nilijifungua tukapumzike huko lol!

Na mda huu ndio tunatoka kumwona Dokta then atapuzika kidogo na baadae atakuja kuwapa hi km kawa!!
 
B52 !
Kwanza niku'hongere ,
pili
nikwambie usipate shida kuwatafuta mahasimu wako mida hii, bado mapema sana! Huwezi wapata! Zodoko limelitanda!
Watu wazima nyuso zimewashuka .
Maeneo baadhi yana kelele za shamrashamra!
Na upande wa pili pako kimyaa!
Ni sauti za Bundi tu, ndiyo zisikikazo.
Hahahaaa kaka tumeshachomoka.....
Tuko fulll
 
Jamani Erick.... maisha sio Siasa tu, kwa taarifa isiyo rasmi shemeji yangu huyo leo anamsindikiza klinic mke wake Cantalisia mana wanahisi ndoa imejibu. Akimaliza hapo lazima atatia timu hapa!

BTW Hio kauli ya Rejao ni kweli, ila kumbuka kuna kitu kinaitwa Revolution, na that is what is happening....
Hahahaaaa Ashadii mambo yanaenda huku yakibadilika....
Nilikuwa namkumbusha tu jamaa yangu km akiweza ahamie kwetu CDM
 
Heshima yako Big sisy,
Wala huajakosea sisy wangu mambo ya siasa sasa yameshaisha,
Tuko bize sasa tutatafuta mji mzuri dunian ili nilijifungua tukapumzike huko lol!

Na mda huu ndio tunatoka kumwona Dokta then atapuzika kidogo na baadae atakuja kuwapa hi km kawa!!
Canta hayo ni maneno ya mkosaji....
Mambo ya Arumeru ndo kwanza yanaanza....
Karibu sana
 
Jamani Erick.... maisha sio Siasa tu, kwa taarifa isiyo rasmi shemeji yangu huyo leo anamsindikiza klinic mke wake Cantalisia mana wanahisi ndoa imejibu. Akimaliza hapo lazima atatia timu hapa!

BTW Hio kauli ya Rejao ni kweli, ila kumbuka kuna kitu kinaitwa Revolution, na that is what is happening....
i was bussy last nite passing through your posts.
you inspired me a lot thats why today am here as jf member
nice to meet you madam/sir as i dont know your gender

Waooooo.........!
Karibu sana mkuu....
 
...pole Cantalisia. Mwambie mumeo CCM waliipenda ila CDM wameipenda zaidi.
Aaaah Babkey.....
Mwambie ajue....
Ila naamini atahamia CDM muda si mrefu maana presure itamuumiza sana
 
Kuwa mwanachama wa chama si kumkubali kila mgombea.

Rejao huna cha kuona aibu wala kujificha, njoo na macho yako tu.
Yatani-melt as usual.
Teh Konny hakikisha unamtafuta hadi umpate maana haonekani kule kwenye jukwaa lako
 
Heshima yako Big sisy,
Wala huajakosea sisy wangu mambo ya siasa sasa yameshaisha,
Tuko bize sasa tutatafuta mji mzuri dunian ili nilijifungua tukapumzike huko lol!

Na mda huu ndio tunatoka kumwona Dokta then atapuzika kidogo na baadae atakuja kuwapa hi km kawa!!

Kanta,
awali haikua kwenye ratiba yangu kushuti POLE yangu kwako/kwenu, but nilipotanabahi kwa kuona chungu ya Members WANAMIPENI POLE, ndo nikaona nisije kuonekana mi mchawi , hence
pOlEnI
 
Back
Top Bottom