Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
Na wapambe walichangia bana!
sorry, usiite wapambe, naomba uwaite campaign team yangu... sawa CAnta?
Na wapambe walichangia bana!
Poa tu na hayo ni maneno hata kwenye keki yapo na tunayala tu source;Kongosho,waswahili husema ukikaa karibu na waridi na wewe utanukia tuu... sasa uko na re-ja-o, what do you expect?
Mi naona wanaume wote mpo hivohivo sijawai kuona watofauti na hayo maelezo yako
Tena wenzio cha pili kinatoka kiduchu ka chozi
Mi naona unajitahidi sana
Kwa sisi wenye mapenzi mema kwa Smile tuliamua kumpatia Smiling Saint ili watuletee mtoto safiiii kama wao
Alafu ww nina bifu na ww.Unamind Bagah?
Yan unamaanisha unampenda Bagah eeee?
Dah shem hivi hii mbona siielewi?
Wapambe mbona zuri sana,sorry, usiite wapambe, naomba uwaite campaign team yangu... sawa CAnta?
Poa tu na hayo ni maneno hata kwenye keki yapo na tunayala tu source;Kongosho,
Mie na Rejao,Rejao na mie!hata km nitanukia samli i dont care!!
Alafu ww nina bifu na ww.
Siwapendi tena!Teh shem hata sisi tukinukia maziwa poa tu.....pamoja daima
Nasepa kwakuwa mods wanafuta posts zangu!
Hamtaniona tena hapa.
Nimesusa!
Kwaherini.
Hahahaaa
Pole aisee....
Kama vipi tuhamie jukwaa husika analolipenda Bagah tukajiachie....Teh