Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
- Thread starter
- #421
Hahahaaa mwanaume hupaswi kushtuka.....kijana, nimelelewa kwa malezi ya kikristo... pamoja na kukaribia sana kukamilisha muongo wa tatu... sijawahi mchezo mbaya... hapa smile kanishtua! maana nikiangalia signature nikajua tupo pamoja!