Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
heeeeeeeeeee!Mpambe atakuwa Amyner....Otherwise nakuharibia sasa hivi.....
Hunijui eeeeh?
Yamekua hayo tena lol!
heeeeeeeeeee!Mpambe atakuwa Amyner....Otherwise nakuharibia sasa hivi.....
Hunijui eeeeh?
Awapi kwa hili hata mie nitakupinga shem wangu lol!Kama kawaida Erickb52 Mwenyekiti na Amyner Mweka hazina....
Wengine jichagueni...
Ndio huko shem sipajui na sitaki kupajua!unamaanisha BAN?
Hata ukipinga kama kawaida utakuwa kama kule Arumeru yaliyomkuta Rejao....Awapi kwa hili hata mie nitakupinga shem wangu lol!
Kuchagua mpambe au matron haikuhusu tuachie wenyewe shem mbona unataka kutuaibisha jama,Ndio hivyo
Orait,
Kwa uwepo wangu hapa ni kwa hisana na ruhusa ya mme wangu kipenz Rejao,
Then labda nikuulize unafikiri ni vichwa gani vikali tukivikabidhi kamati harusi itakua ya kihistori!
Heee heeeeee!Hata ukipinga kama kawaida utakuwa kama kule Arumeru yaliyomkuta Rejao....
Wamejitahidi kuzuia lakini imekula kwao...
Mi ndo Mwenyekiti na kuanzia sasa mi ndo mwenyekiti wa kudumu wa kamati za maandalizi
Mpambe atakuwa Amyner....Otherwise nakuharibia sasa hivi.....
Hunijui eeeeh?
Umeona eeh hapo kamati lazma itulie sana ikiongozwa na mimi...Mwenyekiti wa kamati atakuwa Erickb52, kamati ya ulinzi atakuwa Invisible, Kamati ya fedha atakuwa RR, mapokezi atakuwepo max, mapambo hiyo nitampa mwali, kuandaa watoto wa show nitamfikiria AD, kumbuka upande wa wazazi wangu utaongozwa na dada yangu KOngosho..... hapo naanza tu wewe unaonaje?
Shem nitake Radhi....
Hivu unadhani Bi Harusi atakubali hili?
Ni bora aachike kuliko mimi kuwa mlinzi....
Yes hapo uko sahihi kbs shemu wangu na nakubaliana na uteuzi wako na nina uhakika,Mwenyekiti wa kamati atakuwa Paw, kamati ya ulinzi atakuwa Invisible, Kamati ya fedha atakuwa RR, mapokezi atakuwepo max, mapambo hiyo nitampa mwali, kuandaa watoto wa show nitamfikiria AD, kumbuka upande wa wazazi wangu utaongozwa na dada yangu KOngosho..... hapo naanza tu wewe unaonaje?
Umeona eeh hapo kamati lazma itulie sana ikiongozwa na mimi...
Safi sana Saint
Ok lkn shemu subiri uchaguliwe na sio kujichagua jaman!Shem nitake Radhi....
Hivu unadhani Bi Harusi atakubali hili?
Ni bora aachike kuliko mimi kuwa mlinzi....
Yes hapo uko sahihi kbs shemu wangu na nakubaliana na uteuzi wako na nina uhakika,
Yani usimsahau na Mzee mtambuzi kwan ana busara zake za kutosha,
Kuna watu nimeona hapo wamejipa kamati pole zao!!