Rejao Uko wapi?

Mkuu mbona haya mambo ni personal sana..anyway, wakati wake muafaka ukifika nitakujulisha.

Hivi huyu jamaa alikuwa anamvizia Canta eeh mbona imemuuma sana? Mwambie too late tayari anatukuzia mtoto tumboni...lol
 
Back
Top Bottom