Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Swahiba nimekutafuta sana, ikawaje tena mambo haya yanakufanya tupotezane bana?
![]()
Pipoz pawa imepoteza weng jukwaani
Swahiba nimekutafuta sana, ikawaje tena mambo haya yanakufanya tupotezane bana?
![]()
Haka kamjamaa kabaya sana. Kamemtimua Swahiba wangu Rejao. Hata Chit Chat stress free hatukumuona kabisa.
![]()
Yaani wewe naona unazeeka vibaya...lol.Canta na SL katika penzi motomoto baada ya ushindi wa CDM Arumeru.
Ndoa itafungwa hivi karibuni,
![]()
huyo jamaa wa kulia siku zake za ubunge zinahesabika!!! Namuonea sana huruma!!Swahiba nimekutafuta sana, ikawaje tena mambo haya yanakufanya tupotezane bana?
![]()
Sikujua km ile ingia yako ulikua na plan hiii,
Kiukweli nakubali matokeo lkn hamjamtendea hai Mtei,
Nakushauri usijiaminishe sana kwa hao wapambe wako kwan hawashindwi kukugeuka siku moja,
Mkioana nawatakia kila la heri ila bifu langu linabaki kwa Bagah na Eric!!!
hah! mwingine tena amechakachua thread!! nitawabonyezea kekundu?!
bonyeza hapo pa DISLIKE...
Kaka mekumisije?huyo jamaa wa kulia siku zake za ubunge zinahesabika!!! Namuonea sana huruma!!
Nitawasamehe siku wakimuomba msamaha Mtei,ka meseji kako kana-touch ila ndio ukweli.... naomba basi uwasamehe kwanza eric na Bagah
Ina maana sms zangu hufutagi? Ukifumaniwa ukatiwa mimba isiyotarajiwa usinitafute.Yaani wewe naona unazeeka vibaya...lol.
Afu ujue bado sijamaliza kucheka zile sms za juzi,..jana nimejiuliza hivi umeanza kuvuta bange kama Lusinde au?...sina mbavu walah tena.
ka meseji kako kana-touch ila ndio ukweli.... naomba basi uwasamehe kwanza eric na Bagah
Nipo salama kabisa ma dia...Nimetoka nyumbani jana tu!!Kaka mekumisije?
Uko poa wewe?
Ya Arumeru yamepita hebu tuongelee ya nyumbani kwetu!
Dah! Babu nimekupigia saluti,Haya Tena kwa wale wanaotaka Dawa ya nguvu za kiume wawasiliane na mimi kwa njia ya PM. inauzwa Shs 15,000. Dawa ni ya mitishamba lakini imetengenezwa kwa njia ya kisasa Capsule unatumia kila siku kidonge kimoja Asubuhi na kidonge kimoja usiku baada ya kula chakula kwa muda wa miezi 3 Vidonge vipo 180 baada ya hapo hutotumia tena. Nguvu tena moja kwaa moja waweza kwenda mara tano kwa siku bila ya matatizo Mwenye kutaka awasiliane na mimi.
Jamani hii ni Mkuyati kiboko yao au jina lingine naweza kusema kuwa ni chuma cha Pua.
Ungana nami kutokomeza nguvu za jogoo kwa wanaume. Jiunge nami kufuta machozi na majonzi ya kinamama kwa uchafu wa manii za jogoo kutoka katika maumbile ya kiume ya binadamu.
Nitawasamehe siku wakimuomba msamaha Mtei,
Kwani walichomfanyia sio poa kbs,
Bora wangeacha watu wakaachana wenyewe ingekua poa tu,
Lkn wameleta maumbea ya ajabu!!
Haya Tena kwa wale wanaotaka Dawa ya nguvu za kiume wawasiliane na mimi kwa njia ya PM. inauzwa Shs 15,000. Dawa ni ya mitishamba lakini imetengenezwa kwa njia ya kisasa Capsule unatumia kila siku kidonge kimoja Asubuhi na kidonge kimoja usiku baada ya kula chakula kwa muda wa miezi 3 Vidonge vipo 180 baada ya hapo hutotumia tena. Nguvu tena moja kwaa moja waweza kwenda mara tano kwa siku bila ya matatizo Mwenye kutaka awasiliane na mimi.
Jamani hii ni Mkuyati kiboko yao au jina lingine naweza kusema kuwa ni chuma cha Pua.
Ungana nami kutokomeza nguvu za jogoo kwa wanaume. Jiunge nami kufuta machozi na majonzi ya kinamama kwa uchafu wa manii za jogoo kutoka katika maumbile ya kiume ya binadamu.
Mie wala simuogopi Amy,coz yeye alikua anamkumbushia Mtei mambo ya zaman ambapo Mtei alikua akienda kucheza pool,ambapo ilikua rahisi kwa Smile kuelewa,hivi tuna kosa gani tena vile?...sijui anamuogopa amy...maana ndie kapeperusha ndege wa MTEI
Kwann uyashadadie?shem uliuza kifaa nini(Smile)...?inaelekea uliahidiwa cha juu...
Shem pitia post ya Amy ndio alianzisha maswala ya bar bana!
Hahahahaha! Zile zimekaa kichama zaidi, hata zikifumaniwa hazina tatizo....Ina maana sms zangu hufutagi? Ukifumaniwa ukatiwa mimba isiyotarajiwa usinitafute.
Nikiripoti kutoka kaunta ya juu,
Mimi ni ODM wa Pasaka Njema.