Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

ukitaka kujua familia yenye mama bora mwenye malezi bora t kama ya Lowassa,we tizama hata watoto wao hawana shobo japo wanatoka familia yenye almost kila kitu ,sio watu wakujisifia ,nakumbuka kuna dadake Fredy alikuwa anafanya kazi hospital ya serikali(daktari) hapo dar es salaam,sikujua yeye ni nani mpaka nilipo kuja kutonywa,alikuwa hana makuu ana muhudumia kila mtu.. lakini tazama watoto wa mr.misifa makeke yao,yule mteja ndo kila siku kigulu na njia kabakiza kuparty tuu hana lingine analo kumbuka

We hujui ule msemo wa masikini akipata ni shida mtaani?
 
,bado sana meli kuzama tena sana,
mwaka huu baada ya wahuni kuonekana wamekamia ikulu kama vile ni kwenda mbinguni ,wenye akili zao wanajua nani anastahili kuongoza nchi genge la wahuni na wazee wa kubwabwaja hili hali wasijue wanachokiongea wasomi wanaona kama ni aibu kwa wasomi wa nchi hii kamwe shanwe wajinga haizitasaidia ,

Hizo kauli zenu za kibaguzi ndizo zinazowagharimu, kila siku mmekalia wasomi wa Nchi hii hawawezi kukubali.
Kwa taarifa yako hao unaowaita wajinga ndio wenye asilimia kubwa ya kura.
 
,bado sana meli kuzama tena sana,
mwaka huu baada ya wahuni kuonekana wamekamia ikulu kama vile ni kwenda mbinguni ,wenye akili zao wanajua nani anastahili kuongoza nchi genge la wahuni na wazee wa kubwabwaja hili hali wasijue wanachokiongea wasomi wanaona kama ni aibu kwa wasomi wa nchi hii kamwe shanwe wajinga haizitasaidia ,

hivi hii nchi ina wasomi kwa maana ya wasomi wanaojitambua?

bongo tuna wasomi uchwara na wenye njaa kama huamini angalia comments zao ziko very bias.
 
No alikuwa anafundisha ilboru..o level. .somo la chemistry..nakumbuka alinifundisha chemistry. .long time mwk1985 form two. .mungu ambariki sana..nikama namwona vile..EL kila jioni alikuwa anakuja kumchukua jioni wakati huo akiwa ndo mkurugenzi wa aicc..its really good memories back then...she will be a very good first lady for sure!
kiker una kumbukumbu kali sana.
 
Last edited by a moderator:

Sasa tuje tuone tofauti ya Rais anayeshauriwa na mama Mwalimu wa UPE au huyu wa Secondary masomo ya Sayansi Shule ya vipaji maalum.
Wanasema kila penye mafanikio ya mwanamme kuna mama mahiri nyuma yake.
 
Asante mama Regina . Tunakusubiri kwa hamu mtakapoingia ikulu 26 october mchango wako kwa jamii unahitajija na hakika kwa uwezo Mungu tutauona
 
Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.

pole sana.we mmatumbi kwa taarifa yako regina ni.mrangi sio mmasai na lowassa ni mmeru
 
Ila amsaidie na kupanga hotuba maana hawezi kuhutubia
Hotuba ndio zimetufikisha pabaya-tunataka vitendo-tafuta clip za Adolf Hitler akiwa anahutubia utapanda monkar-matokeo yake wajerumani hawatasahau-Vasco da gama maneno mengi tuko wapi sasa? au tutakula hizo barabara? Lowassa a man of few words,but cross his path at your own peril AS ccm just found out
 
Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.
Dogo una uhakika ni Mama Regina ni MMASAI?.
 
Sasa tuje tuone tofauti ya Rais anayeshauriwa na mama Mwalimu wa UPE au huyu wa Secondary masomo ya Sayansi Shule ya vipaji maalum.
Wanasema kila penye mafanikio ya mwanamme kuna mama mahiri nyuma yake.

hahaaahaaa...hakyanani mwalimu wa upe..!!!!
 
Mzee wangu angalia nisije nikamwambia Mama...:thinking:

Hongera kwa kumpa sifa zake,kuna mtu aliniambia pia ni Mama mwema mwenye kujitambua.

Cha msingi,Mzee wangu Umepata KURA YA MAONI?Jimbo gani?Au Umekatwa?

Yote tisa kumi tuambie Mbona meli inaendelea kutobolewa?Matundu hayo Nahodha wa Meli yetu haoni kama tunazama?Halafu namna anavyoziba hayo matundu naona kama anayaongeza ukubwa wake?

Tueleze wanachama wa huku mtaa wa kati yaani wale wanaopenda kutafuna UBUYU wakati wote,huko vipi mbona hatuelewi hapo ndiyo mwisho wa lami au bado inaendelea?Maana kuna mzinga wa muamba hapo mbele,nahodha ameuona?

Nipo mtaa wa kati nafuatilia kama nijiandae kuwa Campign Manager wako maana kwa Mtanio kesha tupwa mbali sana....

Binti yangu Tetty,tupo pamoja. Usimwambie Mama tafadhali. Nimejaribu kusema kweli tu. Mtani wangu Mathias amekatwa na wanajimbo wake. Nimempa pole lakini nikamsihi aendelee kuvumilia. Amenielewa.

Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
Binti yangu Tetty,tupo pamoja. Usimwambie Mama tafadhali. Nimejaribu kusema kweli tu. Mtani wangu Mathias amekatwa na wanajimbo wake. Nimempa pole lakini nikamsihi aendelee kuvumilia. Amenielewa.

Mzee Tupatupa

Mzee Tupatupa bwana,Pesa ilimuuza Yesu wajua?Angekubali ile ripoti ya TAKUKURU itoke HEWANI huku BONGO tusingesalimiana na CCM ingepasuka mara mia zaidi.Ninamshukuru kwa BUSARA zake za kukataa ile report isitoke hewani amasivyo Lastlady wetu angekuwa matatani zaidi.

Anyway Mzee wangu chuki iliyojengeka ni kubwa mno kiasi kwamba sasa tumetupiwa wadanganyika tutafunane kwa ajili tu ya MATAMSHI tata ya Baba wa kaya,kwamba Urais ni wake na familia yake.....

Huko kwa Mtani wako najua zaidi kilichotokea ila nashukuru uamuzi wake.

Ya mwisho sasa Mkuu wa kaya ametuita wapinzani eti ni Moto wa MABUA,najua shamba umeishi,huku kwetu tunatumia mabua kuchemshia maji ya kuoga,na ukicheza na mabua yanaunguza nyumba,je ni kweli wapinzani Moto wa Mabua?

Tunahitaji maelezo yako,hivi nyumba kweli ipo salama?
 
Back
Top Bottom