Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

"Kwani magufuli ni mzima?? Safari za ulaya za kila wakani anaenda kufanya nini kama sio kutibiwa..?" In Sumaye voice.
 
Mnafiki mkubwa wewe, raisi bora zaidi kuwahi kutokea marekani franklin roosevelt aliongoza nchi akiwa kwenye wheel chair
 
mkuu cku hz ni buku 5 tu fedha nyingi 2mewekeza ktk kununua majeshi ya kukodi na wanamgambo kama wakina ray,ant ezekiel na kitengo cha IT masaki

Kumbe imepunguzwa mkuu..!!
 
mgonjwa ndo tunamtaka yaan hapo ajaanguka jukwaan kama jk je akianguka s mtakesha kushangilia
 
Nafikiri utakuwa kijana ila kwa kauli kama hizi unanifanya nikudharau jitazame utakuta wewe una magonjwa Mengi kuliko mwenzako "nyani huona kundule"
 
mama kwanza pole kwa majukumu,

nimeona nitumie njia hii kukushauri,mimi ninampenda sana mumeo waziri wangu mkuu aliyestaafu,mtu aliyekuwa mchapakazi na mwenye maamuzi magumu.mama ninakushauri ufungue moyo wako uone ukweli huu na kwa kuwa ninaamini unampenda mumeo utachukua hatua ya kutafakari na kufanya maamuzi magumu.

Mzee wetu anaumwa mama hakuna haja ya kumfedhehesha mbele za watu,msitiri mumeo ,wanasiasa wanalazimisha kumtumia si kwamba wanampenda kama umpendavyo wewe ila wanapenda pesa zake tu.

Kama ni kujisafisha tayari walimtukana fisadi wameshamsafisha wenyewe,usisubiri yampate ya aibu zaidi,unajua yaliyompata akiwa chato,kuna siku yatamtokea akiwa amechomekea na waandishi wataweka hadharani.

Mwacheni mzee apunzike amelifanyia taifa hili kazi njema sana,wewe waambie anaenda kucheki afya then potelea huko urudi siku 3 kabla ya uchaguzi, lakini wambie wanao pesa alizo nazo baba yao alitafuta akiwa timamu ni wajibu wao kuzitunza na kuziendeleza na kumshauri wakijua hawana baba mwingine na hao wapambe baada ya uchaguzi hawatawaona.

Ni ushauri mama

kwa kifupi una sifa kuu mbili
1.uchawi
2.dalali wa viungo vya binadamu...mwaka huu hamjafikisha lengo imekula kwenu.
Laana wakubwa.
 
Mnafiki mkubwa wewe, raisi bora zaidi kuwahi kutokea marekani franklin roosevelt aliongoza nchi akiwa kwenye wheel chair

We jamaa umetisha unajua kufuatilia siasa....na worst ever president ni bush....
 
Mkuu ushauli wako unahusu afya yamtu ww ni doctor. Mwenye mamlaka yakuzungumzia ugonjwa wamtu ni familia yake tu ww huna mamlaka mkuu. kuna marais wengi wanaapishwa wakiwa hoi vitandani..
 
Kumbe imepunguzwa mkuu..!!
mkuu tumepunguza dau si unajua gharama ya kubeba watu kwenye malori kila tukifanya mkutano kuwalipa kina diamond kugawa fedha a.k.a rushwa kama unavyomuona mama samia ktk gazeti la mawio leo posho za vikao lumumba coz lowassa anatufanya tusilale ningependa kuchukua nafasi hii bnafasi kuwashukulu wasanii hasa diamond maana bila huyu dah nadhani uwanjani kungekuwa na mgombea urais na timu yake ,Dj na green guard tuu
 
Back
Top Bottom