Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

Teh teh teh mnanikumbusha maneno flan ya kwenye khanga "UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE"


Haya hawa ndo WATANZANIA banaa
 
Namheshimu sana Slaa leo angeniomba ushauri kuhusu ndoa yake bila kupepesa macho ningemshauri amrudie Rose Kamili, huenda yanayotokea leo yasingetokea.
mkuu umeoa? maana hii umeonyesha full u-childish kwa kweli.
 
Nani kakuambia lowassa ni masai wa porini..wale ni educated familly bwana..acha propaganda usizozijua ..kwanza mama Regina Lowassa sio mmasai ni mrangi wa kondoa..acha ushamba kitu hukijui tulia!

Mama Regina Lowassa amezaliwa mto wa mbu monduli..wazazi wake walihamia toka IRANGI
 
Kweli ni mama wa mfano, sio wale wanaopenda kuonekana mbele mbele kama mastaa, amesimama na mumewe ktk yote..kweli anastahili kuwa mfano kwa kizazi hiki! Pia shule imemuexpose..masters kwa kwenda mbele! Alafu bado yuko humble namna hiyo! Mungu akubariki mama!
 
Yaani wengine ni shuleless au unataka kusemaje, si waalimu wa darasa la pili kabisa hao na wamesoma grade 3C
 
Hivi yule First Lady wetu wa zamani bado na yupo na mzee?Maana nasikia walikuwa na ile inayoitwa 'the marriage of convenience'.
 
Nami namkubali sana, mama regina Lowasa, wanawake
wa aina yake kwa ulimwengu wa leo wapo wachache
sana katika mia moja unaweza kumpata mmoja tu.

Big up mama!
 
Hawatoki kijiji kimoja kama hujui uliza uambiwe. Nilikwisha fanya project maeneo hayo na nina uhakika na niandikacho

Hahah Kizazi cha Loan Board! Kwa kufanya Kwako Project ndo ukajua Kuwa Lubuva na Regina hawatoki kijiji Kimoja!
 
NDANI YA NDOA KUNA MEEEEENGI MNO MNO MNO...SIRI YA MTU ANAIJUA MWENYEWE...NA NYENDO ZAKE..CCM HUA HAINA SIASA CHAFU..
KAMPENI ZINAKUJA YALIYOJIFICHA TUTAYAJUA VEMA...ANAUMIA ANASIRI NYINGI MNO ZA MUMEWE....
Mungu amtie nguvu hasa atakapoambiwa kuwa MUMEWE KASHINDWA TENA URAIS
AMEN...
 
First Lady ni mke wa Rais wa inchi, familia yake ya Rais inatambulika kama Firts Family.

Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema anaye ungwa mkono na vyama vya ukawa ameonyesha kwa dhati kabisa anao uwezo, nia, uthubutu wa kuwa first lady mzuri.

Amekuwa bega kwa bega na mumewe katika mbio za uchaguzi huu unao endelea ila mke wa Magufuli kwa kweli still bado ajaonyesha kitu chochote.

Chadema na Ukawa imekuwa karibu sana na mke wa Lowassa tofauti na CCM kuto ona thamani ya mke wa Magufuli. Mfano ni pale katika kongamano la wanawake wa bavicha mellenium tower.

Kada wa CCM na mgombea ubunge viti maalumu singida ambaye alishidwa kwa kura Wema sepetu aliandaa tamasha la kuwawezesha kuzunguka Tanzania nzima la mama ongea na mwanao hawakuweza kumualika mke wa magufuli walau watu wamsikie sauti yake badala yake wamemualika kikwete.

Maisha binafsi, inaelekea kabisa Maelewano ya Lowassa na mke wake yapo vizuri sana kuliko ya Magufuli na mke wake. Lowassa ni mtu ambaye anaelewa thamani ya mwanamke ni nini kuliko anavyo elewa Magufuli. Mfano moja wapo wa Magufuli ni pale alipo sahau kumtambulisha mke wake kwenye mkutano wa uzunduzi wa kampeni za CCM jagwani mpaka alipo kumbushwa kufanya hivyo na Kikwete.

Mke wa Lowassa anampigania mume wake ila mke wa magufuli hana msaada wowote kwa mume wake. Kuna uwezekano wa majukumu ya kikazi ila kwa kipindi hiki ambacho waume zao wapo katika pilika pilika za uchaguzi ni lazima wangechukua likizo zisizo na malipo kwa sababu nafasi wazi ombazo waume zao zinamisukosuko mingi kwa hiyo wao ndio faraja kuu.

Lowa.jpg Mke wa Lowassa mama-magufuli.jpg Mke wa Magufuli
 
Kwa sababu mnatoka nae(mama Lowassa) 'Kwa Mtoro' - Kondoa ama?...

Yaani unataka mama Magufuli aache kazi ya kufundisha watoto akawe bega kwa bega na mume wake?
 
Back
Top Bottom