Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.
Regina ni mrangi siyo mmasai
 
EL akishinda kwa mara ya kwanza Tanzania inapata 1st Lady wa viwango kusema ukweli
Huyu wala haitaji crash course ya u first lady kama Salma alivyofanyiwa-huyu from the word go she will hit the ground running-viwango vyote vya kimataifa anavyo-mungu atupe nini watanzania
 
Asante sana kwa hii thread, nilikuwa nasubiri sana kupata uzi kama huu.yule mama ni special kwa jinsi ambavyo yupo sambamba na his excellency president lowasa.
 
Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.

Acha kuandika kishabiki, huyu mama si mmasai ni mrangi orijino, na EL siyo mmasai. Kama si suala la mfumo dume ni jamii za kiafrika zote
 
Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa ni wa kupigiwa makofi ya pongezi. Yuko na mumewe bega kwa bega. Hamwachi. Ametoka naye huku;akaenda naye kule. Hongera sana Regina Lowassa. Wanamama wa Tanzania mpatecha kujifunza toka kwake.

Ndoa ina mambo yake!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Na ile hali ya ukimya bila kihelehele kama cha Salma! Pamoja nakuwa mmewe sio rahisi, lakini kwa umaarufu na kipato cha mme wake angelitangaza ufalme/umalkia kwa kiasi chake! She is calm as if nothing is taking place
 
Watanzania kwa unafiki hatujambo tunamsifia mtu wakati huwa tunamuona kwenye tv hata hatujui tabia zake.

Kwa hiyo wewe sio mtanzania hivi una miaka mingapi??
Kwanza mtafute yaya wako akuvue hiyo nepi imelowana mkojo halafu urudi hapa. Tukufundishe 1+1=? halafu unjwe uji ukalale
Haya mambo hayakuhusu
 
Lowasa kaogea maji gani akapata bahati ya kupendwa namna hii?
~We mtu nchi nzima anaongelewa kwa mazuri tuuu

Baba usije ukabadilika kama jk ukatutosa baba
 
Nyie watoto wa JF ni nouma mlisfia mchumbaake nakatibu, mlipombwaga bwah! mmemlundikia kashfa lukuki sasa mnamtengenezea mazingira mpige makuta ya mumewe si mnamjua a.k.a Mr misifa.
 
Back
Top Bottom