Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

Mama Pamela si Mmasai ni Mrangi katoka kijiji kimoja na Jaji Lubuva wa Tume ya Uchaguzi

Mwanamke akiolewa anafuata taratibu za kabila la mumewe. Ndio maana hata jina alibadili. Huyo ni mmasai by induction!!!

Queen Esther
 
Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.

Nani kakuambia lowassa ni masai wa porini..wale ni educated familly bwana..acha propaganda usizozijua ..kwanza mama Regina Lowassa sio mmasai ni mrangi wa kondoa..acha ushamba kitu hukijui tulia!
 
Kumbe kichwa duh!

No alikuwa anafundisha ilboru..o level. .somo la chemistry..nakumbuka alinifundisha chemistry. .long time mwk1985 form two. .mungu ambariki sana..nikama namwona vile..EL kila jioni alikuwa anakuja kumchukua jioni wakati huo akiwa ndo mkurugenzi wa aicc..its really good memories back then...she will be a very good first lady for sure!
 
Regina Lowassa na Mume Wake ImageUploadedByJamiiForums1439580612.164923.jpg
 
Mrs Lowassa si tu mzuri wa sura tu ila ni mama muombaji na mwenye hofu ya Mungu. Anajua kusimamia nafasi yake kama mwanamke. Ana hekima sana.
 
huyu mama ni msomi level ya masters na ameshatunga kitabu chake ila sikumbuki title. Mama ni msomi siyo mburura.
 
Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa ni wa kupigiwa makofi ya pongezi. Yuko na mumewe bega kwa bega. Hamwachi. Ametoka naye huku;akaenda naye kule. Hongera sana Regina Lowassa. Wanamama wa Tanzania mpatecha kujifunza toka kwake.

Ndoa ina mambo yake!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

hata josephine kabla ya kutukanwa muda huu alisifiwa km tunavyomsifia regina
 
hata josephine kabla ya kutukanwa muda huu alisifiwa km tunavyomsifia regina
Namheshimu sana Slaa leo angeniomba ushauri kuhusu ndoa yake bila kupepesa macho ningemshauri amrudie Rose Kamili, huenda yanayotokea leo yasingetokea.
 
Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa ni wa kupigiwa makofi ya pongezi. Yuko na mumewe bega kwa bega. Hamwachi. Ametoka naye huku;akaenda naye kule. Hongera sana Regina Lowassa. Wanamama wa Tanzania mpatecha kujifunza toka kwake.

Ndoa ina mambo yake!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mkuu nakubaliana nawe 100%
 
Back
Top Bottom