Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

Kwenda huku na huku hakumaanishi mke bora. Mbona hamkuwahi kusema kama ni mke bora kwa miaka yooote ya Mumewe madarakani? Au umke bora umeanza baada ya kuja Ukawa? Yale yale ya El kupanda daladal. Mbona hakuwah kupanda alipokuwa mtendaji mkuu wa serikali? Mtu ni Nyerere peke yake. Wengine waigizani.
 
Salama wakuu.
Kwanza nianze kwa kutoa sifa kwa Mama huyu, hakika ni mwanamama wa kipekee sana. Mwanamke anayeweza kusimama na mumewe kwenye membamba na mapana. Kupata wanawake wa namna hii kwa sasa ni adimu sana.

Nimeleta mada hii kwenu wakuu kwa sababu kuu moja, mwenendo wa kampeni hizi lolote linaweza likatokea. Hivyo ni muhimu kuwa na tahadhari ya baadhi ya mambo.

Mama Regina Lowassa kama nilivyosema awali ni mwanamke ambaye yuko bega kwa bega na mumewe akihakikisha mumewe anatimiza malengo yake. Lakini muenendo wa mama huyu unaweza kuwa na hatari kwa hapo baadaye kama mumewe akishinda. Hasa katika suala la kumcontrol.

Hii inanikumbusha mke wa mtawala wa zamani wa Urusi Nichollaus II aliyeitwa Alexandra Feodovna.
Mama huyu aligeuka kutoka kuwa mke wa mtawala na kuwa mtawala kamili tena mwenye nguvu kubwa (inasemekana kuliko hata za mumewe). Mama huyu alifika hatua ya kuingilia majukumu makubwa makubwa ya kiutawala hali iliyochangia kudondoka kwa utawala wa mumewe Nichollaus II.

Mama Regina kwa sasa bado hajawa First lady wa nchi hii lakini amekuwa akijihusisha moja kwa moja na siasa za majukwaani. Amefanya mikutano, amefanya makongamano, ameshiriki siasa hadi ile ya ndani. Hii inamuongeza nguvu sana na asipokuwa makini anaweza akajisahau nafasi yake na kujiona kumbe na yeye anaweza kuwa 'rais'.

Hofu yangu ni kama huko tunakoelekea kama mumewe akishinda na akawa "dhaifu" kwa namna yeyote, na kushindwa kumdhibiti basi kuna uwezekano wa kuwa na Alexandra mwingine hapa Tanzania.

Kama kuna namna ya kumdhibiti mapema mapema nadhani ingekuwa busara zaidi ya kusubiri mpaka ashindwe kudhibitika.
 
Umeandika vzr lakini sidhani kama hilo linaweza kutokea but never say never.
 
We utakuwa unasimuliwa juu ya Edo,

Muache kama alivyo yule, jamii ya Kimasai haina tofauti kubwa na jamii ya watu wa Tarime hii ni tofauti jamii ya Kikwere na Kichaga hata kinyakyusa. Kuna jamii moja wapo kati ya hizo nilizoziorodhesha hapo juu imetuliza kwa miaka kumi tumeogozwa na shemeji..!! Shida sana.

BACK TANGANYIKA
 
Salama wakuu.
Kwanza nianze kwa kutoa sifa kwa Mama huyu, hakika ni mwanamama wa kipekee sana. Mwanamke anayeweza kusimama na mumewe kwenye membamba na mapana. Kupata wanawake wa namna hii kwa sasa ni adimu sana.

Nimeleta mada hii kwenu wakuu kwa sababu kuu moja, mwenendo wa kampeni hizi lolote linaweza likatokea. Hivyo ni muhimu kuwa na tahadhari ya baadhi ya mambo.

Mama Regina Lowassa kama nilivyosema awali ni mwanamke ambaye yuko bega kwa bega na mumewe akihakikisha mumewe anatimiza malengo yake. Lakini muenendo wa mama huyu unaweza kuwa na hatari kwa hapo baadaye kama mumewe akishinda. Hasa katika suala la kumcontrol.

Hii inanikumbusha mke wa mtawala wa zamani wa Urusi Nichollaus II aliyeitwa Alexandra Feodovna.
Mama huyu aligeuka kutoka kuwa mke wa mtawala na kuwa mtawala kamili tena mwenye nguvu kubwa (inasemekana kuliko hata za mumewe). Mama huyu alifika hatua ya kuingilia majukumu makubwa makubwa ya kiutawala hali iliyochangia kudondoka kwa utawala wa mumewe Nichollaus II.

Mama Regina kwa sasa bado hajawa First lady wa nchi hii lakini amekuwa akijihusisha moja kwa moja na siasa za majukwaani. Amefanya mikutano, amefanya makongamano, ameshiriki siasa hadi ile ya ndani. Hii inamuongeza nguvu sana na asipokuwa makini anaweza akajisahau nafasi yake na kujiona kumbe na yeye anaweza kuwa 'rais'.

Hofu yangu ni kama huko tunakoelekea kama mumewe akishinda na akawa "dhaifu" kwa namna yeyote, na kushindwa kumdhibiti basi kuna uwezekano wa kuwa na Alexandra mwingine hapa Tanzania.

Kama kuna namna ya kumdhibiti mapema mapema nadhani ingekuwa busara zaidi ya kusubiri mpaka ashindwe kudhibitika.

Kama ana madini kama alivyo sasa, Nadhani anastahili kugombea urais huko mbele. Kwangu mimi ni bora kuliko Asha Au Anna, na hata Samia
 
Mpaka atawale mbowe atakuwa wap? Lisu mnyika mdee james ww ona aibu urais n kamat kuu ya chama husika si kila maamuz anatoa yeye mambo ya muhm xana lazma wa2 wakae
 
Kosa moja mnalofanya kwasababu ya umburula wenu ni kusahau kuwa Lowassa akifanikiwa kuwa Rais ,tutakuwa na katiba itakayotokana na matakwa ya wananchi ambapo madaraka ya Rais yatapungua kuliko aliyonayo mkwere hivi sasa na katiba hiyo haitaruhusu ujuinga wa utawala wa kishemeji kama tuliokuwa nao kwa miaka kumi itakayoisha tarehe 25/10/2015!!
 
Invisible hizi thread ni mbili tofauti kimaudhui. Naomba zitenganishwe zirudi zilivyokuwa. Mmeziunganisha kimakosa.
 
Last edited by a moderator:
Kwenda huku na huku hakumaanishi mke bora. Mbona hamkuwahi kusema kama ni mke bora kwa miaka yooote ya Mumewe madarakani? Au umke bora umeanza baada ya kuja Ukawa? Yale yale ya El kupanda daladal. Mbona hakuwah kupanda alipokuwa mtendaji mkuu wa serikali? Mtu ni Nyerere peke yake. Wengine waigizani.

Mwisho wa akili yako ni hapo..
 
Mwanamke mwanaharakati bora 2015 ni Josephine Mushumbushi ambae alikataa katakata ulaghai na ubabaishaji wa viongozi wachache wa cdm. Mama Regina amedandia gari kwa mbele, ni kama utapeli kwani hakuwahi kutoa jasho na damu kwa ajili ya cdm. Si mfano wa kuigwa.
 
Back
Top Bottom