Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Asante kamanda.

Mh.Mtema alikua mlemavu na gari ilikua ya kawaida sio maalumu kwa walemavu.Kifo cha Huyu dada kimenishtua na kunisikitisha sana,she was so lovely.Mwenyezi Mungu awe pamoja nasi katika msiba huu,poleni ndugu , na marafiki.
 
Kifo hiki kimenisononesha sana.

Regiua alikuwa msichana objective sana.

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
 
Lipo kusudio la kanuni ya Mwenyezi Mungu kuchukua waja wake, yatupasa kulihimidi jina lake yeye aliyezitenganisha mbingu na dunia! Tunakurudishia utukufu wako Bwana, tunakuomba umpokee mja wako aliyetutangulia mbele za haki! UMPATIE PUMZIKO LA AMANI EE BWANA.....kwa heri dada Regia!
 
Kwaheri Regia, hiyo ni njia ya Wote ni wewe tu umetutangulia lakini wote tutakufuata kila mmoja kwa wakati wake.
 
Hatimae naamini.....
Pumzika pema dada Regia.....
 
Haiwezekaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! No! no! no! no! no!, utani wa namna hii si mzuri.Naomba ufute pls
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe,hii ni safari ya kila binadamu ila tunatofautiana njia za kuondokeajia,ila njia alioondokea dada yangu inaumiza sana lakini basi
 
Moja Kati ya shocking news katika nchi hii! Gender Sensitive (kama alivyokuwa anajiita) alikuwa ni Msichana jasiri sana

Bwana Ametwaa na Bwana Ametoa jina lake lihimidiwe
 




R.I.P RM!
ni juzi tu aliandika kuhusu her personal achievement kumbe alikua anauaga! Poleni wafiwa and alla Chademans!
Bwana alitoa Bwana ametoa, Jina lake lihidiwe!
 
Hili ni pigo kwetu walemavu,katutoka ktk kipindi ambacho jamii ili anza kuelewe kuwa walemavu wanamchango mkubwa sana katika ili taifa ilimradi tu,wakipewa nafasi na kuaminiwa.Poleni sana wanafamilia wa da Regia,daima muwe mfano wa kuigwa kwenye jamii hii ambayo bado inajua ulemavu ndo mwisho wa maisha,endeleeni kuielimisha jamii iwape walemavu haki stahiki,kama vile elimu,na hasa ajira na kubwa zaidi uongozi ambao ni karama na si vinginevyo!
 
...Let us mourn in a "natural" way; Regia (Dotto) Mtema is no more. She has been loved by the Almighty God who has created and taken away. Indeed, for what good done by the Late Regia let us imitate; and do our best possible to remember Regia by doing what is good for Tanzania and her people.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…