Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Ooooh my God, naomba muwe mmekosea jamani, it cant be
 
Duh...our beloved Jf member is gone...we loved you but only God allows that to happen
 
Dah!......

Speechless....

Upumzike kwa amani rafiki yangu,dada yangu na kiongozi wetu mpendwa...

Umeondoka katika kipindi ambacho Tanzania inakuhitaji hasa....

Kwa heri rafiki.......Umetangulia nasi tuko njiani...

Pole kwa familia, Pole kwa CHADEMA, Pole kwa vijana wote wa Tanzania, Pole kwa wana Kilombero, Pole kwa watanzania kwa jumla...

Hakika hili ni PIGO kwa watanzania........Bala na JF Tutakukumbuka daima dada yetu Gender Sensitive/Regia Mtema

Raha ya milele umpe ee bwana, na Mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani......Amina.
 
Poleni sana wafiwa kazi ya Mungu! njia yetu sote lazima tuipite!
 
Hii ni habari mbaya sana kwa wanaJF, Familia yake, chama chake na Taifa kwa ujumla.

Hii habari ni ngumu kuimeza lakini ndio ukweli wenyewe. Tutakumiss sana Regia.
 
Dah, hii ni siku mbaya sana kwa kumpoteza mwanachama mwenzetu wa JF.

RIP
 
Tutamkumbuka kwa mengi. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
 
Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.

Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake


ni kweli radio one wametangaza sasa hivi
RIP Regia
 
Kwani sikukuu ya wajinga ni lini vile? Mi sijaamini bado,, na hata ikiwa ni sikukuu ya wajinga, si kihivi jamani
 
Tanzania
inalia



Tumepoteza mtoto wetu

Tumepoteza dada yetu

Tumepoteza mpambanaji wa kutegemewa



Tumempoteza Regia Mtema. Alikuwa mmoja tu. Tumempoteza



Mungu ailaze roho yake
 
it must be true maana hata namba yake siipati
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom