Yendi na mtima usipati muhumbo, ulongoli kwa tati wetu, laika liikali na yuwi , kutukutuvasua kwa mulungu, tulikupenda, tumekupenda na tutadumu ktk kukupenda na tunamtukuza mungu kwa kukupenda zaidi, amekuinua miongoni mwetu, amekupambanua kati yetu, ulisimama kwa ajili yetu na sasa kwa niaba ya umma wa bonde la ulanga-kilombero, ninakuomboleza dada regiah, ninakuombea msamaha tena na tena kwa wote uliowakwaza ingawaje wewe mwenyewe uliwaomba radhi ktk new year eve, ninakuombea raha ya milele na upumzike kwa amani tena na tena na tena ;amin.