Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Huu ni msiba wa wote, Wana CDM, wana JF, watu wa kilombero na watanzania wote kwa ujumla. Siamini kama kuna mtu alikuwa na chuki na huyu dada. Hata humu tulikuwa tukipingana kwa hoja ni mtu wa watu. Mungu amuangazie pahala pema.

Regia alikuwa wetu sote.
 
Sitaki kuamini hii habari, Regia huyu wa JF, juzi juzi aliweka uzi wa kero za wananchi hapa jamvini, jamani
 
Nipigo kubwa sana kwa Tanzanzania , habari hii ni kweli dada yetu kafariki na imethibitishwa na ITV, na mwili wake uko Tumbi
 
Its true friends, regia left us, Its confirmed. Tumepoteza mpigania maendeleo na mwanamapinduzi wa kweli, pole CDM.
 
R.I.P. Kamanda Regia!
Ni pigo kwa familia yako, ni pgo kwa CDM, ni pigo kwa JF na ni pigo kwa Tanzania.
Tulikupenda sana lakini Mungu Amekupenda zaidi.
Mungu akupe Malazi Mema na awape nguvu na subira wote walioguswa na msiba huu.
 
images.jpg images2.jpg imagesCAY0NDPF.jpg

Nitakukumbuka daima Mh. Regia Mtega (RIP)
 
Ni habari mbaya sana thz wk end, tumeanza mwaka vibaya! Knye gazet la jambo leo mridh wa shehe yahaya ametabiri mwaka mbaya kwa wabunge naona yanatimia.
R I P Ulikuwa mpiganaji wa kweli
 
Dah!! This is a true story wana JF, tumempoteza member wetu.

"Nimepata habari za kutisha na kushitua kwamba Mh Regia mtema( mb) amefariki dunia kwa ajali ya gari leo." Maneno ya John Heche haya katika wall yake FB
 
Gari alilokuwa akiendesha Mwenyewe(Land Cruise)HZJ 100 alilolonunua Locus kwa mkopo wa Bunge ndo alilopata nalo ajali,Leo alimuacha Dereva wake na kujaribu kuliendesha mwenyewe.RIP regia
Hii gari ni balaa,haifai kabisa kujifundishia hasa huku mkono mmoja unapost kwenye JF.Baadhi ya kampuni za bima wanakwepa kuziwekea bima kwa vile uwezekano wa ajali ni mkubwa.
Hata hivyo nasema InnaLILLAAH WA INNA ILAIHI RAAJIUUN.
 
Nipigo kubwa sana kwa Tanzanzania , habari hii ni kweli dada yetu kafariki na imethibitishwa na ITV, na mwili wake uko Tumbi
 
why GOD? WHY REGIA at this time its pain mpambanaji wetu ametutoka tuliona mchango wake mkubwa hapa jf hakika ni uzunikubwa
 
RIP Regia Mtema nani wa kuliziba pengo lako Bungeni?????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom