Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
I am speechless japo kufa ni lazima kwetu sote. Rest in peace regia mtema.
 
Dah, Regia!!! Naanza kuamini maisha ya mwanadamu ni mafupi sana. Hata hivyo imekuwa too early, too sad and too much for us all. Tutaishije Tanzania bila Reggia?
 
Siku hii ilashaanza vibaya tangu asubuhi nikajiuliza kwa nini.....now I know kuwa bad news were on the way.

Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana, I hope sio kweli....Gossh why her?? too soon

RIP Mh. Regia Mtema. Pole sana wanafamilia dah.....
 
Mungu amrehemu Regia. Kazi ya mungu hakuna wa kuingilia.Ameshawafanyia mengi watanzania tunakuombea mama. Nasikitika tu kwamba sitaweza kuongea na wewe tena ndani ya uso wa dunia hii, sitakuona bungeni ukiuliza maswali yale ya kuwatetea watanzania! Hutaweza kuwasilisha zile kero zetu watanzania tulizotoa juzi!Regia Regia Mungu akupokee. Jamani!maisha hayana maana tena!
 
Guys it is true, i know their family,Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amen. Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. INAUMAAAAAAAAAAAAAA SANAAAAAAAAAAAAAA JAMANIIIIIIIIIIIIIIIIII OOOOOOOOOOH
 
R.i.p regia mtema. Mungu na awape faraja familia yake. Pia nawapa pole uongozi wa chadema na wanachama wote wa chadema, bila kusahau watanzania wote kwa ujumla wao.
 
Kwa mungu tulitoka na kwake tutarejea, lakini ni wangapi siku yetu ikifika tutakuwa tumepigana kama Regia!!?
 
Eeeh Muumba wetu, vita iliyopo ya kuikomboa Tz ni ngumu, wapambanaji wanazidi kupungua. Regia Mtema tulimhitaji, nawe umeonyesha unamhitaji zaidi! Kazi yako haina makosa.
 
oooh my!!!!!
Yaani ndio natoka isingizini n kuiona hii habari, nimeshtuka sana japokuwa simjui binafsi huyu dada.

pole sana kwa wanafamilia, wanakilombero, wanaCHADEMA, JF na watanzania wote.

May her soul R.I.P. Amen
 
We are nothing in this World! Nimeacha kila nilichokuwa nafanya ofcn,nakwenda home straight to the bed!!!
 
R.I.P Regia!My condolences to your dear family and true Tanzanians that will miss your contribution!
 
Mods ..
ningeomba sana mui "STICK " Hii thread.. asanteeni.

 
Tulimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi. Jina la Bwana lihimidiwe. Roho yake ipumzike mahala pema
 
Jamani inastua na kuumiza moyo. Sisi tulikupenda lkn Mungu amekupenda zaidi. Umpe ee Bwana raha ya milele na mwanga wa milele umuangazie, kwa mastahili ya mema aliyotenda akiwa bado dunia hii ukampatie mahali pa mwanga, faraja na amani, Amina.
Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.

Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake na baadae kwenye mkutano wa CHADEMA huko Kibaha.

Habari hizi zimethibitishwa.
 
its true tumepoteza moja ya makanda hodari kwenye vita na wakoloni weusi da!!!! inauma sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom