Regia Mtema is No More!

Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Hakika kila nafsi itaoja mauti, bwana alitwaa bwana ametoa jina la bwana lihimidiwe!
 
Yani Regia kama vile nilikufahamu miaka mingi ni ngumu sana kuamini umeondoka milele. Jamani kifo hakielezi.

Really gonna miss heading your articles about our Tz, chat with you and dadas talk..Pole sana kwa familia&Tz nzima.

[video=youtube_share;NxIYxPiK1c4]http://youtu.be/NxIYxPiK1c4[/video]
 
pumzika dada yangu....mbele yako ni nyuma yetu.....uwe na amani ntaendeleza yale uloacha kwa wana wa pakaya..pumzika wewe
 
?????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ee Mungu eeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!
Nasikia kizungu zunguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Huu ulioandika hapa NI UTOTO, NI USHAMBA, NI UHUNI NA NI UFUKUNYUKU. Yaelekea kwako huu msiba ni sehemu ya kuletea masihara. Hizo alama za kuuliza tutakuandikia kwenye aburi lako next week
 
Siku yangu imeharibika kabisa leo,dah nashindwa hata kusema RIP.
 
Hii nimeinyofoa kwenye Thread alitoianzisha kamanda Regia mwenyewe" Tunakusanya kero ambazo ungependa zisemwe Bungeni na nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA"


Regia : Ha ha ha!Umenichekesha.Kuna Siri katika Shukrani Mkuu,Mbwembwe nazo ni muhimu vile vile ni katika kunogesha Hotuba...Anyway limepokelewa na litafikishwa mahali husika.



quote_icon.png
By Ngongo
Regia.

Bado naendelea ..........

[23] Wabunge/Mawaziri punguzeni mbwembwe wakati wa kuwasilisha hoja mbali mbali mjengoni.Utasikia Mheshimiwa Spika namshukuru Mume/Mke wangu atataja jina,kisha ataendela na utaratibu wa mbwe mbwe namshuruku watoto wangu Ngongo anasoma Alberta University Canada,PakaJimmy anafanyakazi UNICTR Arusha ,Regia yuko hapa hapa mjengoni,ritz anapiga mzigo BOT.Akimaliza anahamia Wizara anayoisimamia Namshukuru sana Katibu Mkuu anamtaja jina ..........Muda wa salamu na pongezi unachukua zaidi ya dakika kumi.
 
Jamani me bado siamini hivi ni kweli au naota ndoto?
 
police need to launch an investigation,i smell something fishy here,.alikuwa anaendesha mwenyewe,.a good alibi.
 
RTO wa Pwani ameconfirm via clouds fm breaking news!
 
Dah!nguvu zmeniishia sina la kuoengea,RIP REGIA MTEMA
 
Aiseeee......Pumzika kwa amani dada Regia...
 
This is very sad and shocking news to me. RIP Regia!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom