Poleni wana CDM wote popote pale mlipo,poleni wana Jf kwa sisi tuliokuwa tukimfahamu vyema Dada Regia,poleni ndugu na jamaa,lakini pia nichukue nafasi hii kuwapa pole viongozi wakuu wa CDM
Mh Dr,Slaa
Mh Mbowe
Mh Zitto
Mh Mnyika
Mh Tundulisu
na viongozi waandamizi wote wa CDM kuwa tumeondokewa na mtu ambaye alikuwa ni mpiganaji na mwenye kujitoa kwa khali ma mali.
na kumbuka mala ya mwisho ni hivi karibuni alileta thread yake kukusanya maoni na shida za Wtz
nashindwa kujizuia lakini ndivyo ilivyo CHEMA HUWA HAKIDUMU
tuwe wavumilivu ktk kipindi hiki kigumu tulichonacho
Ndugu zangu wa kilombero,paLe Ruha,kidogo basi,kihelezo,kidodi,mang'ura,kwa bibi,mkamba,ifakara,lupiro, tunasema hii ni kazi ya mungu haina makosa,tupo pamoja ktk msiba huu mzito
ee mungu hatukulaumu lakini ungetupa mda nae,kwani umemchukua kipindi tukiwa tunamhitaji mmmmh