Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
mbona huu uzi haujafungwa hadi sasa hivi..ina maana ni kweli?
habari ya kusikitisha sana
tafadhali fwatilia utupe taarifa kamili
Dah! Dada nilikuwa namzimikia sana!!Tobaa...
Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.
Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake