Huwez amini sikuwahi kunotice hiyo tofauti
Khaah ila Jide anapendwa aseh yani kuboa kote huko wanamshangilia?
JD karudi na Yahya! Anaboa.
Hao wawili ndugu, mimi dada lao.....
JD karudi na Yahya! Anaboa.
Yahaya kaingia.........
mimi hiyo ya pretta ndio naiona leo...........kumbe nina pacha.........
Hao wawili ndugu, mimi dada lao.....
huo unaimbwa
haya sasa umefurahi, wimbo ndo huo hewani
furahi mkuu..mi lov the song pia..angeanzia huu bora
Big up kwake.... Ila kaacha Miwani na Koti!!!!!"
Yahaya kaingia.........
Acha chuki mkuu....
Yaani mtu hajaanza hata kuimba unasema anaboa?....
Au wimbo wa Yahaya unakugusa nn mkuu?....Joking.....lol
Dont generalize; Sema anakuboa wewe , mie haniboi . Good lady Jay dee- na Yahaya
Ni mshabiki wake saaana lakini leo hata mimi kaniboa kwa kweli. Huo ni ubahili uliopitiliza. kama hela ndogo asingefanya kuliko kufanya chini ya kiwangi namna hiyo.....kha!:doh: Bado ana mashabiki bana.... :doh:
Dont generalize; Sema anakuboa wewe , mie haniboi . Good lady Jay dee- na Yahaya
Height zitapotea!!Ila kwa ujumla huyo aliyewaandalia mavazi ya ufukweni kachesha sana maana mabint karibia wote wamavaa vazi la ufukweni na viatu virefu! Tangu lini high heels zikavaliwa beach?
Haya mabibi na mabwana wa JF tushamjua mshnd wa kwanza, vp khs wa pl na wa tatu?
Atleast!
Ha ha ha! Kuna watu ni ma-Anakonda damu! Ameboooooa!
Labda reds wana bif na cloudsAtleast!
Ha ha ha! Kuna watu ni ma-Anakonda damu! Ameboooooa!