Nipo shost! Sometimes huwa natumia muda mwingi kuwasoma wenzangu naona uvivu kuchangia. Ila hako kabinti kamenikera mpaka nikachangia! Hivi kweli Boflo kapotelea wapi best? Au ulimwacha kwenye jumba la Mbezi Beach nini? Itabidi tuanze kazi ya kumtafuta best wetu.shost ulipotea....mpaka Miss aboronge ndio utokee.....haya niambie Boflo anatumia ID gani.....maana.....mmmh.......
hebu mwaJ na charminglady.....niambieni nipake nini na mimi ning'ae kama hao ma miss.....mbona kila mmoja mweupe........?
Huo ni ujinga sasa! Kwanini waweke hilo vazi? Wamechemsha sana!Height zitapotea!!
1. Happiness 2. Clara 3. Lucy....
Mmmh... Latifah!!!!Jaman Da Pretty latifah? vp mwenzangu hapo umekubaliana na hilo?