daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
Sijapenda show ya JD hakuna kitu cha ziada kuongeza mvuto
sure..at least angekua na dancers then angeimba na her band
Sijapenda show ya JD hakuna kitu cha ziada kuongeza mvuto
hajajipanga kwenye kuchukua pichaSijapenda quality ya picha, hata hawa zoom in and out. Wamegandisha tu.
Jamani, wengine kwenye wamekaza vignja kama wanapiga saluti.Ila wazurimo
kweli amejazia vizuri yaaaaniii...........kuna kimoja kimejaziajazia kwa nyuma.....kizuri.........
Shindano limepooza kweli aisee.....Wale wadau wa ulimbwende......tukutane hapa saa hii.....
Ndio sasa mambo yapo jikoni.....Star TV......sijui nani atachukua........
huku tukisubiriu Miss World hapo tar 28 Sept..........tusuuze macho na hii.......
cc: Dark City.... Balantanda...... Kongosho.......na wengine.........
Naona miguu tu nashitwa hata kuona namba
tuzuri kweli....tudogodogo.........