Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,050
- 656
Kama wanavyosema Lundenga huwa anafanya kweli basi anafaidi sanatuzuri kweli....tudogodogo.........
Kama wanavyosema Lundenga huwa anafanya kweli basi anafaidi sanatuzuri kweli....tudogodogo.........
nimemkosa angela damas
nimemkosa nasreen kareem
nimemkosa millean magese
nimemkosa richa adhia
lazima huyu wa sasa hivi na mimi nishafishe nyota
nikopa hata finca kwa kweli
khaaa
wao si wanajiita sijui pedeshee ndama mtoto wa ng'ombe mimi nitajiita c.t.u
pedeshee kifaranga mtoto wa kuku
KAMA MBWAI MBWAI TU
kuna mshono wa kitenge wa ngazingazi nimeuona..... Kongosho hebu niletee niuangalie vizuri........
Hivi kweli Tanzania hatuna nyimbo kweli za kupiga hadi tupige za wenzetuMiss Tz lakini nyimbo Nigeria,south..si wangepiga ata kibao cha mdogo wetu Diomond..Ngolololo
kuna mshono wa kitenge wa ngazingazi nimeuona..... Kongosho hebu niletee niuangalie vizuri........
Mbona wanaonesha viatu tu wapuuuzi jamaa wa camera
kumbe hata wewe umeuona eeeh........
aisee can't guess kwa kweli..watoto warembooo..then sioni hata vizuri..huyu cameraman anaonesha sana miguu n migongo sijui ndo nini sasa..