Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

Kwao kuna magari huyu demu, kwa hiyo kawaida sana. Wangempa mtu ambaye tungetafutana kwenye mafuta, sasa huyu tutampataje jamani, duh!
 
Ila Zawadi ni ndogo saaana ukilinganisha na gharama ya kuuza sura.

Sio sura tu kiongozi, ulizia behind the scene ukome. Maana best 5 inakuja tayari ilishachaguliwa, sasa mpaka uchaguliwe humo weee!
 
sasa nikalale(we).........tukutane tena tar 8 Sept kwa ajili ya Miss World.........ALAMSIKI..........
 
Kwao kuna magari huyu demu, kwa hiyo kawaida sana. Wangempa mtu ambaye tungetafutana kwenye mafuta, sasa huyu tutampataje jamani, duh!

Teh teh teh... Unataka kusema wamechota maji kwenye ndoo na kumwaga baharini???
 
Warembo washindwa kufungua mlango wa gari! Nadhani walipaswa wapewe semina.
 
Mlango umemshinda kufungua, pa kuweka funguo anaulizia! Kumbe mwenzetu tu huyu.
 
Dah kweli mwenye nacho huongezewa. Nimesoma kwenye blog moja hivi,huyu Happy miss tz wa leo amesoma st.costantine,then huku chuo uingereza.na sasa kip cha likizo akapata wakati mgumu atafanya nn,ndipo akajiingiza kwenye maswala ya urembo Dodoma akashinda, at last ndo kaibuka tena kidedea leo.
 
bad colour....camera quality mbya....mavazi wamejitahidi....the weird part...is mshindi was not cheerful ivo yani hana mzuka wa kushnda t was so plain....na the crowd daah.....no PROUSE kabisa.....hata hawakucheer up......t wasnt dat great kwangu...n my frnds tuliokuwa tunawatch
 
hongera happynes kuiwakilisha vyema dodoma' kiukweli umetufurahisha sana wana dodoma na kuleta hamasa mpya ya ukimbwende kwa mabinti wa dodoma' we are so proud of u
 
Back
Top Bottom