Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

Happyness! Sauti ya uyo baba anayetangazaga naimissigi kweli kipindi cha bila mashindano.

Ila picha la leo ni kama tumedownload kutoka u-torrent iliyokuwa uploaded na Wachina (movie kabla ya premiere)
 
tumefurahi kufuatilia mtanange huu kupitia Star TV....ila....PICTURE QUALITY YENU NI MBAYA.......mxuuuuuuuu........
Preta umenichekesha ujue! Uwe na shukrani walao kidogo basi shosti? Ha ha haaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom