Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

hongera happynes kuiwakilisha vyema dodoma' kiukweli umetufurahisha sana wana dodoma na kuleta hamasa mpya ya ukimbwende kwa mabinti wa dodoma' we are so proud of u
 
hongera happy...ila kiukweli huyu mdada amedanganya umri...eti ni 19 afu ana degree ya uchumi...ivi kweli mtu wa miaka 19 anaweza kua na degree??na je,darasa la kwanza alianza lini??akiwa na umri gani??kwenye umri SIJAMWELEWA
 
Huyu Binti amezaliwa na kukulia Tabora ni mtoto wa marehemu Kapteni wa JWTZ Ruta Watimanywa. Na mpaka leo bado mama yake ana-investments nyingi tu huko Tabora nimeshangaa lini ameanza kuishi Dodoma mpaka kufikia hatua ya kuuwakilisha mkoa huo. Nilichokifahamu ni kwamba walihamia Morogoro na alikuwa anasoma Shahada ya kwanza huko South Africa.

All in all wanatabora (Nyumbani kwenu) tunakupongeza sana Happiness Ruta Watimanywa kwa mafanikio yako tunaimani wanyamwezi tumetoa mchango fulani kwenye mafanikio yako haya.
 
HAPPINESS WATIMANYWA - KUELEKEA REDDS MISS TANZANIA 2013 - Amani Masue

2010 alikua form 4, sijui degree kaipataje.
 
Huyu aliyeandika hayo kuhusu huyu binti ameshindwa kutumia akili ya kawaida kabisa kutofautisha kati ya hao wadogo zake Happy yaani Romeo na Angel, wenyewe wanaonekana kabisa ni mashombeshombe tofauti na Happy. Mama yao alikuja olewa na Huyo Mgiriki baada ya mumewe wa Kwanza Kapteni Ruta Timanywa kufariki miaka ya 1995 happy akiwa ni mtoto mdogo sana mkoani Tabora huko walipokuwa wanaishi.
 
alikua mdogo kama wa umri gani??
 
Kweli JF ni kila kitu huyu mtoto anachambuliwa kama karanga
 
bad colour....camera
quality mbya....mavazi wamejitahidi....the weird part...is mshindi was
not cheerful ivo yani hana mzuka wa kushnda t was so plain....na the
crowd daah.....no PROUSE kabisa.....hata hawakucheer up......t wasnt dat
great kwangu...n my frnds tuliokuwa tunawatch

Vipi Bikra bado unayo? nataka nimsaidie boyfriend wako!...

nashukuru endapo jibu litakua zuri..
wako katka upendo.
Az89 wa JF.
 
There are currently 275 users browsing this thread. (17 members and 258 guests)

khaaa......nyie hapo blue......ndio nyie mlisindikiza wenzenu jana eeeh..........coz washiriki walikuwa 15........na washindi wakapatikana 5.......mliobaki 15 sijui sasa ilikuja kuwaje............
 
though ni mrembo na pia
ana-confidence lakin uongo ndio utakaomwangusha kwenye miss
world...nilimpenda tangu mwanzo wa shindano na alikua ndo mshindi
wangu...ila ilipotajwa tu historia yake sikuamn,1994??degre??ni bora
angesema kua bdo anasoma hyo dgre

mkuu sidhan kama amedanganya kwa kuwa historia yake inasema bado yupo chuo uingereza bali kwa sasa yupo likizo. halafu kumbukeni hajasoma mtaala wa tanzania. hivyo alipomaliza 4m 4 akaunganisha chuo.
 
Sure.... Atleast exposure ya mamtoni!!""
sasa si naskia kakulia hukohuko exposure ya nini tena dada angu charminglady hapo ndo unaamini kale ka msemo ka mwenye nacho atazidishiwa wenzie wanatamani kwenda kuona ma pyramid yeye wa familia mambo safi ana wazibia riziki is this fair dada yangu
 
Back
Top Bottom