Re: Ujinga

ni ujinga kuwa kanisani unaendelea na ibada huku ukiwaza jinsi utakavyofa mapenzi na kimada wako
 
ni mjinga anae soma thread hii na kukosa cha kuchangia wakati kinachozungumzwa ni mambo ya kawaida ya kila siku
 
ni ujinga kwa wachumba kujifanya wananyimana uroda mpaka wafunge ndoa wakati
huko pembeni wanagawa kama kawa.
 
ni ujinga kumuona msichana mzuri unamtamani alafu unashindwa kumuambia kwamba unampenda
ni ujinga kumtongoza kila msichana mzuri unayemwona na kumtamani...kwani yawezekana ni dadako.
 
ni ujinga kudhani kuwa kutoshiriki uchaguzi basi ujachagua kiongozi kumbe umeshiriki kuchangua kiongozi bomu
 
ni ujinga kuchangia mambo ya kijinga! Wakat huo ulieandika ujinga unacheka kicheko cha kijinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom