Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,519
- 86,070
Yaani kila Bank ya NMB Tanzania unayoingia kuna foleni kubwa na Wahudumu wame-relax Tu hapa.
Leo Niko hapa Mlandizi NMB, nimesimama queue zaidi ya dakika 56 sijapata Huduma bado. Kuna Binti WA kichina kacharuka hapa ndio kapewa Huduma.
Juzi nilikua Tanga, foleni kubwa mhudumu mmoja, Jana Nikawa Kibaha NMB, foleni kubwa na Huduma mbovu, Leo tena hivyo hivyo.