Re: Ujinga

Re: Ujinga

Ujinga ni kushadadia umepona ugonjwa wa ngoz wakat unavaa mavaz km warussian ukiwa bongo kwny 32 degree Temp.
 
ujinga ni kuwa shabiki wa timu za ulaya za ulaya utazani huna hisa au wanakujua katika timu hizo. ujinga ni kuogopa kifo wakati kifo ni sure event.

ujinga ni kushabikia mpira wa bongo kwa kuzani Mrisho Ngasa anakujua
 
ujinga ni kufurahia huduma ya voda ya 0.facebook.com wakati wamedissable all graphs objects
 
Ujinga ni kuangalia mpira kwenye tv huku unasinzia!
 
ujinga ni kukubali kuwa axb=ab halafu 2x3=23 unapinga
 
ujinga ni baba kuwa na relation na beki3 afu mbele ya mkewe anajifanya kumfokeafokea.
 
ujinga ni kumtema girl/boy friend wako then akipata mwingine unapata mawivu
 
ujinga ukisalimiwa mambo unajibu poa alafu baada ya mazungumzo unasema unaumwa tangia juzi
 
Ujinga nikunya chooni alafu ukaangalia kama kweli umekunya.
 
Back
Top Bottom