Nina swali ndugu zanguni

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
175
618
Process ya re cut inachukua mda gani kwa upande wa serikalini? Mimi niliambiwa nafanyiwa re cut lakini nashangaa hadi Leo mshahara wangu unasoma ule ule wa certificate!!! haujaongezwa.kama hujaelewa ilo neno re cut ni Ku shift course labda ulikuwa na certificate ya Taxation uka shift course ukasoma diploma ya procurement,Mimi niliacha fani niloajiliwa nayo nikaenda kusomea nyingine kwa level nyingine sasa niliambiwa nitafanyiwa re cut kuamishwa idara kwa kupandishiwa mshahara nashangaa kimya naingiziwa ule ule wa mwanzo,wakati nilitegemea mshahara uongezeke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom