Hapo kwenye bold, unanikumbusha avatar ya Yo Yo ilivyonipa taabu nilipoiona mara ya mwanzo! Sikutumia arrow ya mouse ila kidole changu kufukuza mdudu kwenye screen!
Ujinga ni kuangalia tamthiliya au movie mpaka kulia wakati ni dhahir unajua kwamba kina cho igizwa humo ni urongo/uongo.
Well movie nyingine zinakuwa based on true story, hata hivyo mara nyingi zinakuwa na mambo yanayogusa hisia za huyo mtu kwa vitu anavyovijali.
Ujinga ni kughadhabika baada ya mchango wako kupondwa hapa jf wakati ni siri yako na hakuna mtu wa karibu anayefahamu hilo
Ujinga ni kumwamsha mgonjwa ili anywe dawa ya usingizi