ujinga ni mtu mzima kuwa na mawazo ya kujambajamba
ujinga ni kunanihii
Ni ujinga kufikiri rose mhando atawashirikisha kanga moja kucheza shoo
Ujinga ni kushangaa mtu kupost kuhusu kujamba wakati hata baba'ko huwa anajamba!
Ujinga ni kuamini Lowassa ni fisadi wakati huna ushahidi wowote
Ujinga kukataa kupiga kura, baada ya uchaguzi unalalamika viongozi wabovu wamechaguliwa
Ujinga ni ku2mia arrow kwny computer kumfukuza mdudu alie kwenye screen ya computer
ujinga ni kuvuta umeme kwenye nyumba ya makutiUjinga ni kununua carpet wakati unaishi nyumba yenye tiles.