Re: Ujinga

Re: Ujinga

Ujinga kuuliza daladala linaelekea wapi wakati konda anatangaza kwa sauti kubwa
 
Ni ujinga kukaa seat ya mbele kny daladala alafu unaanza kugeuka kumwambia konda unaposhukia badala ya kumwambia dereva uliyekaa nae mbele..
 
ni ujinga kumsimamisha msichana unaetaka kumtongoza alafu unaanza kwa kumwambia, cjui nimekufananisha???
 
Ujinga ni mtu anakubeep unaamua kumpigia unasema haloo anakuuliza wewe nani, nyambafu mkubwa
 
Ujinga ni kuua kunguni kwa kidole halafu ukanusa (huku ukijua kuwa harufu ya kunguni siku zote ni ile ile)
 
Ujinga ni kumuita mtoto wako mmoja John, mwingine Yohana ilihali yote ni sawa tu, au Mathew mwingine Mathayo
 
Ni ujinga kusema enzi za Nyerere mambo fulani hayakuwepo
au mwalimu angekuwa hai mambo hayo yasingetokea...
 
ujinga ni kuongea na simu kwa ishara wakati huyo unaeongea nae hakuoni....
 
ujinga ni kuongea na simu kwa ishara wakati huyo unaeongea nae hakuoni....

Ujinga mwingine ni kuangalia salio kila unapokata simu ukiwa umetoka kupiga wewe
 
Back
Top Bottom