Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Naunga mkono kabisa. Kuna wakati unaona bora kuepusha shari tuu maisha yasonge kwani nini bana? Kinyume na hapo itakua ni ugomvi kila siku usio na kichwa wala miguu.
Kabisa[emoji119][emoji119]
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.

Anza kujistukia
 
Uwanaume upo wapi sasa hapo?

Mtu anakumbia usiniguse ni wanini sasa huyo au hana kwao?

Yani hata na shangaa hawa wanaume wanaoendeshwa hivi ni wa wapi mimi anatii kila ninachosema kwanza yeye mwenyewe huwa anataka
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Au una kibamia?
 
Nilidhan napitia haya peke angu kumbe tupo wengi, wife anafanya kazi sehemu moja n kazi yake sio ya mihangaiko kabisa ila neno nimechoka, usiniguse nataka kulala limekua wimbo ndani, kisirani mda mwingi makasirikio, Yaani dah kazini pa moto nyumban pa moto yaaan inafikia mda sijui maamuzi gani nichukue.
Chepuka mchepuko wa buza kwa mpalange.Hutojutia
 
Ndo maana ME weengi wanakuwa na michepuko ili kuepusha mgogoro
Nakupongeza kwa ukweli mchungu,maana miche- inaondoa stress za ndoa.Ukiona ndoa inadumu bila kugombana hata Mara moja mwaka mzima unapita ujue Mmoja anamchepuko wake safi KBS..kwahyo yakivurugika ndani ya ndoa anaenda huko. Akirud anapuuzia maisha yanasonga.
 
Utakuwa humfanyi vizuri so una mu bore na kumkera pia anaweza kuwa na hormonal imbalances, pia wanawake wakishazaa hamu ya ku do inaisha anahamishia upendo kwa watoto, na wewe jichunguze Kuna vitu huwa una mkera kakukinai
Au ndio "simama kama MTU aliyekosa tumaini,nkurenge"
 
Dah! Mi sijapewa miezi miwili sasa,sijui nakwama wapi....miaka ya mwanzo nilikuwa napewaa siku zote 320+ kwa mwaka,( ondoa zile siku maalumu za kila mwezi,tena baada ya kumaliza alikuwa anapenda ilale " umo umo",yaan mnalala ikiwa ndani,

Sasa hivi hata miezi mitatu inafika sijapewa,namimi sijali wala nini,atajua mwenyewe.pia majukumu yamekuwa mengi ,nguvu nyingi tunaelekeza huko,

Muda mwingine maisha ya ndoa huwa matamu kama unayaacha yaende kama yalivyo.

Kwa upande mwingine hana tatizo,maisha yanakwenda vizuri tu.

Nimependa hapo pa kulala humo humo aka kuloweka [emoji23]
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
ni kilio cha wote tu mkuu...tupo pamoja 😀
 
Nilidhan napitia haya peke angu kumbe tupo wengi, wife anafanya kazi sehemu moja n kazi yake sio ya mihangaiko kabisa ila neno nimechoka, usiniguse nataka kulala limekua wimbo ndani, kisirani mda mwingi makasirikio, Yaani dah kazini pa moto nyumban pa moto yaaan inafikia mda sijui maamuzi gani nichukue.
uamuzi ni kuchepuka tu mkuu....at ur own risk
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Mrudishe kwao. Ndoa ni tendo la ndoa kama hakupi hakuna ndoa hapo. Siku hizi anaweza kuwa anachepuka hata ndani ya ofisi au kwenye gari la hawara yake.

Hajaja hapo kula na kujaza choo, shtuka arudi kwao.
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Wanawake:-
Jumatatu - kichwa kinauma

Jumanne - nilikuwa bize nimechoka Sana

Jumatano - Nina blidi

Alhamis - Nina blidi

Ijumaa - Nina blidi

Jumamosi - Nina blidi

Jumapili - naumwa kiuno siwezi hata kugeuka

Jumatatu - kicwa kinaniuma

Jumanne - nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote unauma, nimepaka diclopa haijasaidia

Jumatano - Nina stress ya vicoba

Alhamis - Nina stress ya rejesho saccos

Ijumaa - Mama yako kanipigia simu kanigombeza

Jumamosi - Naenda kitchen party ntarudi nimechoka.

Wanaume:-
Jumatatu - Bar na washikaji Hadi alfajiri

Jumanne - Bar na washikaji Hadi alfajiri sikusikilizi huna sera

Jumatano - UEFA Champions League Hadi saa tisa

Alhamis - Europa

Ijumaa - Live band Hadi asubuhi

Jumamosi - Asubuhi supu na washikaji.... Mchana nyama choma na washikaji... Jioni bia na washikaji Hadi majogoo

Jumapili - Bia na washikaji Hadi usiku wa manane

Jumatatu - Kwa demu mpya Hadi saa tisa usiku

Jumanne - SMS ya mchepuko imekutwa kwenye simu yako, umechuniwa na kununiwa miezi miwili. Mkeo anagongwa nje anapata mimba, mwezi wa tatu mnaelewana, mwezi wa nne unagundua mkeo ana mimba kubwa sio yako, mnagombana, unamtimua na ndoa imekufa.

Jana nilipokutana na hii topic nilicheka lakini nikakuonea huruma sana kaka Bujibuji maana kwa siku za karibuni umekuwa ukipost sana malalamiko ya ndoa. Kama yanakusibu pole sana, lakini kama ndoa yako ipo vizuri nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kuelimisha jamii kupitia uzi huu maana “RATIBA YA KIFO CHA NDOA imetrend sana leo kwenye mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom