Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

JF never boring
 
Mi nakumbuka mwanzo wa mahusiano yetu aisee tulikua tunarukiana kama kuku kila mahali, sebuleni, jikoni, bafuni yaani haipiti siku mbili. Nisipolianzisha mimi yeye unakuta tayari kashaandaa mazingira goma linasakatwa! Na kulikua hakuna muda maalumu, ni asubuhi, mchana, usiku, alfajiri kabla ya kuamka yaani acha tu. Taratibu mambo yakaanza kubadilika, ikawa sasa ni usiku tu, na raundi ni moja..! Huku na huku naanza kushangaa inapita siku tatu, nne, wiki, wiki mbili...heee Ukilalamika unapewa pewa siku mbili tatu baadae yanarudi yale yale.. unafika mahali unachoka kulalamika unaona liwalo na liwe mnaanza kulala kama kaka na dada tu. Mind you hapo hatuna ugomvi kabisa tuko poa mno na tunalala kama tulivyozaliwa kila siku

Vile wanaume mnavurugikaga hapo anakunyimaje buana, labda uniambie amejua vimchepuko vyako vikamkata stim. Maana wanawake sisi akili zetu anazijua Mungu tuu. Wakati mwingine hata sisi wenyewe hatujielewagi😃😃😃
 
Hii kujifariji kwamba hana mchepuko ndio imesaidia ndoa yangu imeendelea kuwa yenye furaha, amani na upendo zaidi ya miaka 10 sasa. Kama anae basi atakua anafanya kwa siri sana na ananitunzia heshima, kwangu hiyo inatosha. Sema nini mi mwenyewe pia sijakaa kizembe.
Haswaaa....
 
We jamaa kwa akili zako ungekuwa mambele kama US usingekosa kitengo pale NSA[emoji23]
 
hahahahhaa nimecheka maana hata mm jana nimefanya hivyo,.sina mchepuko lakini kuna muda jamani unachoka hata hamu ya ku do huna inabidi ulale tuu saa moja jioni kukwepa hekaheka,..

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]to most men sex is a need to you it’s just a want
 
Ya once per month ngumu kumesa☺☺

Ila mambo mengi yanayokuaga magumu hivyo yanakuaga magumu toka mwanzo wa mahusianomahusiano, sema watu wanakomaa kunganganiana halafu mwisho yanawakifu wanashindwa.

Wanaume ndio wapangaji wa ndoa ki asili, ndio wanaoshawishi binti wanayemwelewa kuingia kwenye ndoa.
Pamoja na vitu vingine wakati mnashawishi wekeni wazi kabisa hilo swala ili ieleweke wazi kuwa mwanaume hicho ni kitu muhimu sana ili tujue hicho hakinyimwagi mume😁😁😁
hicho ni kitu muhimu sana ili tujue hicho hakinyimwagi mume😁😁😁

Kaujumbe nimekaelewa hako👆
 
Hii kujifariji kwamba hana mchepuko ndio imesaidia ndoa yangu imeendelea kuwa yenye furaha, amani na upendo zaidi ya miaka 10 sasa. Kama anae basi atakua anafanya kwa siri sana na ananitunzia heshima, kwangu hiyo inatosha. Sema nini mi mwenyewe pia sijakaa kizembe.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dah! Mi sijapewa miezi miwili sasa,sijui nakwama wapi....miaka ya mwanzo nilikuwa napewaa siku zote 320+ kwa mwaka,( ondoa zile siku maalumu za kila mwezi,tena baada ya kumaliza alikuwa anapenda ilale " umo umo",yaan mnalala ikiwa ndani,

Sasa hivi hata miezi mitatu inafika sijapewa,namimi sijali wala nini,atajua mwenyewe.pia majukumu yamekuwa mengi ,nguvu nyingi tunaelekeza huko,

Muda mwingine maisha ya ndoa huwa matamu kama unayaacha yaende kama yalivyo.

Kwa upande mwingine hana tatizo,maisha yanakwenda vizuri tu.
 
M
Mi nakumbuka mwanzo wa mahusiano yetu aisee tulikua tunarukiana kama kuku kila mahali, sebuleni, jikoni, bafuni yaani haipiti siku mbili. Nisipolianzisha mimi yeye unakuta tayari kashaandaa mazingira goma linasakatwa! Na kulikua hakuna muda maalumu, ni asubuhi, mchana, usiku, alfajiri kabla ya kuamka yaani acha tu. Taratibu mambo yakaanza kubadilika, ikawa sasa ni usiku tu, na raundi ni moja..! Huku na huku naanza kushangaa inapita siku tatu, nne, wiki, wiki mbili...heee Ukilalamika unapewa pewa siku mbili tatu baadae yanarudi yale yale.. unafika mahali unachoka kulalamika unaona liwalo na liwe mnaanza kulala kama kaka na dada tu. Mind you hapo hatuna ugomvi kabisa tuko poa mno na tunalala kama tulivyozaliwa kila siku
Jino bila ganzi hio 😅😅😅
 
Muda mwingine maisha ya ndoa huwa matamu kama unayaacha yaende kama yalivyo.
Naunga mkono kabisa. Kuna wakati unaona bora kuepusha shari tuu maisha yasonge kwani nini bana? Kinyume na hapo itakua ni ugomvi kila siku usio na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom