Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Utakuwa humfanyi vizuri so una mu bore na kumkera pia anaweza kuwa na hormonal imbalances, pia wanawake wakishazaa hamu ya ku do inaisha anahamishia upendo kwa watoto, na wewe jichunguze Kuna vitu huwa una mkera kakukinai
 
Wakati mwingine hawafanyi makusudi, bali kunakuwa na mojawapo ya sabb hizi:
1). Vichocheo (hormones) vinapoteza mpangilio muafaka kutokana na sabb mbalimbali (hormonal imbalance)..
2). Kufika umri wa "ukame" (menopause), ambapo uwezo wa kuzaa unapungua. Na hii siku hizi inatokea mapema zaidi sabb ya vyakula vya kisasa.

Mojawapo ya hayo ikitokea, uwezo na hamu ya ku-do kwa mwanamke vinapungua au kutoweka kabsaa. Mara utaskia liquid hakuna kabisa kwa papuchi hata uandae vipi, mara kuna maumivu, nk
Hii kidogo inaingia akilini na inatia matumaini
 
Utakuwa humfanyi vizuri so una mu bore na kumkera pia anaweza kuwa na hormonal imbalances, pia wanawake wakishazaa hamu ya ku do inaisha anahamishia upendo kwa watoto, na wewe jichunguze Kuna vitu huwa una mkera kakukinai

Hapo kwenye kufanya sina mashaka kabisa na uwezo wangu. We sema kitu pia nilichogundua, mwanamke hata umfanye vizuri kiasi gani, mwanzoni ataenjoy sana na utakua unampagawisha balaa. Ila kadri siku zinavyoenda anaanza kukuzoea na graph ya enjoyment inaanza kushuka taratibu. Inafika kipindi hata ufanye nini kwake inakua kawaida tu haimsisimui tena kama mwanzo.
 
hahaha
Hahahaaa I AM NO ONE dini ilieleza vizuri kabisa kwa kutoa vigezo makini kama ulivyoeleza hapo juu kwenye bold... ila shida ni pale wasiokidhi vigezo wanapotaka kuwa na zaidi ya wa3😁😁😁😁
kabisa yan utaratibu ulishawekwa hahaha toka zamani ila tamaa sasa
 
So really, ila ya mwanaume inaletwa na hayo na usingizio ya mwanamke! You have summarized matatizo ya kuvunjika ndoa in few lines!
Ni kweli...mwanaume hajawahi kukosea, ikitokea amekosea ni mkewe ndio kasababisha
 
Hapo kwenye kufanya sina mashaka kabisa na uwezo wangu. We sema kitu pia nilichogundua, mwanamke hata umfanye vizuri kiasi gani, mwanzoni ataenjoy sana na utakua unampagawisha balaa. Ila kadri siku zinavyoenda anaanza kukuzoea na graph ya enjoyment inaanza kushuka taratibu. Inafika kipindi hata ufanye nini kwake inakua kawaida tu haimsisimui tena kama mwanzo.
Kweli kabisa
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Pole mkuu,vp mna watoto?
 
Nilidhan napitia haya peke angu kumbe tupo wengi, wife anafanya kazi sehemu moja n kazi yake sio ya mihangaiko kabisa ila neno nimechoka, usiniguse nataka kulala limekua wimbo ndani, kisirani mda mwingi makasirikio, Yaani dah kazini pa moto nyumban pa moto yaaan inafikia mda sijui maamuzi gani nichukue.
ilinitokeaga hii...na kitandani anakaa mbali......mwisho wake ukawa mbaya
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Ningekuwa Mimi baada ya kuletewa vijisababu natafuta pa kupunguzia hasira hapo nigeanza rasmi kutomuuliza kuhusu utamu kila nikirudi nafanya kama yeye nikiamka Mimi huyoo kazini, hapa akili yake itaanza kujiuliza mbona Siku hizi sina time na tunda lake au kuna sehem nimepata, kama ni MTU mwelewa atachange tu
 
Nilidhan napitia haya peke angu kumbe tupo wengi, wife anafanya kazi sehemu moja n kazi yake sio ya mihangaiko kabisa ila neno nimechoka, usiniguse nataka kulala limekua wimbo ndani, kisirani mda mwingi makasirikio, Yaani dah kazini pa moto nyumban pa moto yaaan inafikia mda sijui maamuzi gani nichukue.
Hata Mimi nna hali mbaya,sema mi nipo mbali na wife ila kakata mawasiliano nami nimeamua kukata mwisho wa siku anawapigia jamaa zangu na kutoa malalamiko ambayo kimsingi hayana ukweli wowote ila naona anatafuta sababu tutengane,naamini bila kuwa na watoto yule mwanamke ningekua nishaachana nae kitambo ila nowdays nazidi kumpuuza maana naona nitakuwa na stress nikijali mambo yake
 
Sijui sababu ila kuna namna naona hillijama kwenye Picha ni li zoba! Nikigundia sababu nitawaambia wandugu!
Ni sawa na wale wanaovaa mashati ya kitenge, jibu Hilo tafakari
 
Back
Top Bottom