Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Hahahah we umejuaje hana mchepuko? Au mnabebana kwenda na kurudi toka nyumbani.
 
Ndoa nyingi huvunjwa na wanawake sisi wanaume tunakuja kumalizia tu
"Aanzae havumi amaliziaye ndiye huvuma"

Kuna rafiki yangu mmoja alitoka kazini jion kamkuta bibie kanuna kumuuliza kisa kakaa kimya Siku ikapita.
Kesho yake katoka kazini kakuta hajaandaa chochote kijana wawatu kauliza vp mama chanja mbona hivi akamjibu kwamba leo tangu asubuhi hajiskii kutoka nje hapo sababu ya msingi hana,
Yule rafki yangu baaada ya kuambiwa kama yeye hatoki nje basi, jamaa akaamua kugawa zawadi ya makofi majirani wakaja hapo lawama zote zilienda kwa mwanaume lakini aliyeanza kuharibu ni mwanamke

"HAKUNA MWANAUME MKAIDI MBELE YA MWANAMKE MTIIFU"
Karma njoo usome hapo alafu try to relate
 
Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.

Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!

Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Hahahahaha! kazi unayo
 
Wanawake:-
Jumatatu- kichwa kinauma
Jumanne- nilikuwa bize nimechoka Sana
Jumatano- Nina blidi
Alhamis- Nina blidi
Ijumaa- Nina blidi
Jumamosi- Nina blidi
Jumapili- naumwa kiuno siwezi hata kugeuka
Jumatatu- kicwa kinaniuma
Jumanne- nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote unauma, nimepaka diclopa haijasaidia
Jumatano- Nina stress ya vicoba
Alhamis- Nina stress ya rejesho saccos
Ijumaa- Mama yako kanipigia simu kanigombeza
Jumamoso- Naenda kitchen party ntarudi nimechoka.

Wanaume:-
Jumatatu- Bar na washikaji Hadi alfajiri
Jumanne- Bar na washikaji Hadi alfajiri sikusikilizi huna sera
Jumatano- UEFA Champions League Hadi saa tisa
Alhamis- Europa
Ijumaa- Live band Hadi asubuhi
Jumamosi- Asubuhi supu na washikaji.... Mchana nyama choma na washikaji... Jioni bia na washikaji Hadi majogoo
Jumapili- Bia na washikaji Hadi usiku wa manane
Jumatatu- Kwa demu mpya Hadi saa tisa usiku
Jumanne- sms ya mchepuko imekutwa kwenye simu yako, umechuniwa na kununiwa miezi miwili mkeo anagongwa nje anapata mimba, mwezi wa tatu mnaelewana, mwezi wa nne unagundua mkeo ana mimba kubwa sio yako, mnagombana, unamtimua na ndoa imekufa.
Big up bro
 
Yeremia : Mlango 31​

22 Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.

Mithali : Mlango 14​

1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake;Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Kuna wanaume wenzetu yanawakuta,hatari hii
 
da yaani huwa sikuhizi nikukumbuka wewe na erythrocyte nacheeeka kwa dharaaaaauuuu maana mlivyokuwa na uhakika wa kuingia ikulu yaani mnaimani kali sana nyie watu mnatamani kwenda mbinguni lakini hamtaki kufa mnategemea kwenda kwa motokjaa eee????
watanyakuliwa labda
 
Nilidhan napitia haya peke angu kumbe tupo wengi, wife anafanya kazi sehemu moja n kazi yake sio ya mihangaiko kabisa ila neno nimechoka, usiniguse nataka kulala limekua wimbo ndani, kisirani mda mwingi makasirikio, Yaani dah kazini pa moto nyumban pa moto yaaan inafikia mda sijui maamuzi gani nichukue.
Asanteni machanhudoa, mmekuwa msaada sana. Siwezi lia genye kisa mke kunibania wakati CD tena watamu wamejaa tele huko
 
Utakuwa humfanyi vizuri so una mu bore na kumkera pia anaweza kuwa na hormonal imbalances, pia wanawake wakishazaa hamu ya ku do inaisha anahamishia upendo kwa watoto, na wewe jichunguze Kuna vitu huwa una mkera kakukinai
Basi msiwe mnawabania men wenu kuwa na michepuko. Sio unakuwa mpelelezi wa maisha ya men wako lakini K unambania
 
Wanawake:-
Jumatatu- kichwa kinauma
Jumanne- nilikuwa bize nimechoka Sana
Jumatano- Nina blidi
Alhamis- Nina blidi
Ijumaa- Nina blidi
Jumamosi- Nina blidi
Jumapili- naumwa kiuno siwezi hata kugeuka
Jumatatu- kicwa kinaniuma
Jumanne- nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote unauma, nimepaka diclopa haijasaidia
Jumatano- Nina stress ya vicoba
Alhamis- Nina stress ya rejesho saccos
Ijumaa- Mama yako kanipigia simu kanigombeza
Jumamoso- Naenda kitchen party ntarudi nimechoka.

Wanaume:-
Jumatatu- Bar na washikaji Hadi alfajiri
Jumanne- Bar na washikaji Hadi alfajiri sikusikilizi huna sera
Jumatano- UEFA Champions League Hadi saa tisa
Alhamis- Europa
Ijumaa- Live band Hadi asubuhi
Jumamosi- Asubuhi supu na washikaji.... Mchana nyama choma na washikaji... Jioni bia na washikaji Hadi majogoo
Jumapili- Bia na washikaji Hadi usiku wa manane
Jumatatu- Kwa demu mpya Hadi saa tisa usiku
Jumanne- sms ya mchepuko imekutwa kwenye simu yako, umechuniwa na kununiwa miezi miwili mkeo anagongwa nje anapata mimba, mwezi wa tatu mnaelewana, mwezi wa nne unagundua mkeo ana mimba kubwa sio yako, mnagombana, unamtimua na ndoa imekufa.
Ukweli mtupu!Mkuu umegonga kwenyewe na ndoa nyingi zinakufa kifo hiki mwisho wasiku unaishia kuingiza ule mchepuko wako kuwa mke na wala haikuwa plan yako na hamuwezi kudumu unamtimua unaanza kutafuta wa plan yako Dah maisha siyo rafiki!
 
Laiti wanandoa wangekuwa wanaukariri huu mstari. Ndoa nyingi zimefeli sana katika kupeana utamu, hivi once per month mtu anahesabu yupo ndoani kabisa...aaagggr!

Ya once per month ngumu kumesa☺☺

Ila mambo mengi yanayokuaga magumu hivyo yanakuaga magumu toka mwanzo wa mahusianomahusiano, sema watu wanakomaa kunganganiana halafu mwisho yanawakifu wanashindwa.

Wanaume ndio wapangaji wa ndoa ki asili, ndio wanaoshawishi binti wanayemwelewa kuingia kwenye ndoa.
Pamoja na vitu vingine wakati mnashawishi wekeni wazi kabisa hilo swala ili ieleweke wazi kuwa kwa mwanaume hicho ni kitu muhimu sana, ili tujue hicho hakinyimwagi mume😁😁😁
 
Ningekuwa Mimi baada ya kuletewa vijisababu natafuta pa kupunguzia hasira hapo nigeanza rasmi kutomuuliza kuhusu utamu kila nikirudi nafanya kama yeye nikiamka Mimi huyoo kazini, hapa akili yake itaanza kujiuliza mbona Siku hizi sina time na tunda lake au kuna sehem nimepata, kama ni MTU mwelewa atachange tu
Kiukweli mkuu watu tu hawajui lakini michepuko imeshikilia ndoa nyingi sana hapa mjini. Ndoa nyingi zimekua na furaha na amani kisa uwepo wa michepuko! We hebu fikiria kama mimi napewa mara moja kwa mwezi, hivi kama nisingekua active kwenye kuchepuka si ningekua nagombana na wife kila uchao? Au ningeshakufa kwa presha mimi maana huo uvumilivu ningeutoa wapi jamani? Lakini sasa ivi aaah hata asiponipa mi niko fresh tu najua kesho yakinizidia naenda zangu kando kupunguza stress maisha yanaendelea.
 
Ya once per month ngumu kumesa☺☺

Ila mambo mengi yanayokuaga magumu hivyo yanakuaga magumu toka mwanzo wa mahusianomahusiano, sema watu wanakomaa kunganganiana halafu mwisho yanawakifu wanashindwa.

Wanaume ndio wapangaji wa ndoa ki asili, ndio wanaoshawishi binti wanayemwelewa kuingia kwenye ndoa.
Pamoja na vitu vingine wakati mnashawishi wekeni wazi kabisa hilo swala ili ieleweke wazi kuwa mwanaume hicho ni kitu muhimu sana ili tujue hicho hakinyimwagi mume😁😁😁

Mi nakumbuka mwanzo wa mahusiano yetu aisee tulikua tunarukiana kama kuku kila mahali, sebuleni, jikoni, bafuni yaani haipiti siku mbili. Nisipolianzisha mimi yeye unakuta tayari kashaandaa mazingira goma linasakatwa! Na kulikua hakuna muda maalumu, ni asubuhi, mchana, usiku, alfajiri kabla ya kuamka yaani acha tu. Taratibu mambo yakaanza kubadilika, ikawa sasa ni usiku tu, na raundi ni moja..! Huku na huku naanza kushangaa inapita siku tatu, nne, wiki, wiki mbili...heee Ukilalamika unapewa pewa siku mbili tatu baadae yanarudi yale yale.. unafika mahali unachoka kulalamika unaona liwalo na liwe mnaanza kulala kama kaka na dada tu. Mind you hapo hatuna ugomvi kabisa tuko poa mno na tunalala kama tulivyozaliwa kila siku
 
Back
Top Bottom