mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,337
- 12,469
Huyo mumeo anashida sanaNipo ndani mkuu, kuna shida?
Huyo mumeo anashida sanaNipo ndani mkuu, kuna shida?
Huyo mumeo anashida sana
NitakutafutaKweli binadamu tuko tofauti sana....
Inawezekana unachokiona shida wewe kwake ndio raha😂😂
Polee
Nitakutafuta
Haya wanapitia wengi mimi tulikua tunagombana sana yaani ulichoeleza hapo juu ni kama mimi tu.Daah.. hizi ndoa hizi. Mtu usipokua mvumilivu kwakweli unaweza tundika daruga.
Kuna mtu aliwahi kusema "marriage is the end of sex". Mi na wife hapa siku izi tunafanya mara moja ikizidi sana mara mbili kwa mwezi. Visingizio ndio kama hivyo ulivyotaja, ila hapo kwenye kublidi ni wiki mbili nzima..!! na siku hizi kaja na mbinu mpya akitoka job tu, anaoga anakula anakimbia kulala haraka haraka ili nikija nikute ameshalala!
Yaani anaweza kulala hata saa mbili. Na mimi kuanza kuamsha mtu usingizini hua siwezi. Najua hana mchepuko, ila sijui kwanini amekua mvivu kiasi icho kwenye ku do.
Hatari sana hii.Haya wanapitia wengi mimi tulikua tunagombana sana yaani ulichoeleza hapo juu ni kama mimi tu.
Ugomvi ulizidi, mdogo wake wa kike alikua anashtukia hio hali, kuna siku tumezingua chumbani nikawa natoka zangu saa 5 usiku hio nikale tu tungi, kashemeji kakanikimbilia na kuniambia tabia ya kutoka usiku kila nikirumbana na dada yake sio nzuri, niwe naenda tu room kwake kulala.
Nikija huko chimwagaSi ndio niko hapa
Huku yuko chadema mmoja tuuNikija huko chimwaga
Ilikua ni miaka 5 iliopita.Hatari sana hii.
Bora ukae nae umwambie kiutu uzima black n white. Kuhamia kwa shemeji itakuja kukupa wakati mgumu sana kwenye jamii na familia yako.
Halafu ikifika huko utaonekana wewe tuu ndio mkosaji
Ilikua ni miaka 5 iliopita.
Nilikosea, i admit nilikosea sana kuanza uhusiano na yule binti
Najutia sana, maana lilifahamikaKama sio mambo zako hizo utabaki unajuta maisha yako yote hata kama ni tukio unaloamini unalijua mwenyewe.
Na mbaya ilijulikana wewe ndio umemrubuniNajutia sana, maana lilifahamika
Dogo alikua anajisahau sana.
Na mbaya ilijulikana wewe ndio umemrubuni
Hii ndio maana tunasemaga mume hanyimwagi. Madhara ni makubwa hayo
Ndio hivo japo aliyechomoa betri ni yeye shemeji wakati najitahidi kukaa nae mbali.Na mbaya ilijulikana wewe ndio umemrubuni
Hii ndio maana tunasemaga mume hanyimwagi. Madhara ni makubwa hayo
Ila na wewe uliharibu sana
AiseeNdio hivo japo aliyechomoa betri ni yeye shemeji wakati najitahidi kukaa nae mbali.
Hee.. kwahiyo ina maana ulitafuna yule mdogo mtu? Aisee we nae bana🤣🤣🤣🤣Ilikua ni miaka 5 iliopita.
Nilikosea, i admit nilikosea sana kuanza uhusiano na yule binti
Usiniambie ulikubali tuhuma.Ndio hivo japo aliyechomoa betri ni yeye shemeji wakati najitahidi kukaa nae mbali.
Ha ha haaa mzee si faraja hii au?Haya wanapitia wengi mimi tulikua tunagombana sana yaani ulichoeleza hapo juu ni kama mimi tu.
Ugomvi ulizidi, mdogo wake wa kike alikua anashtukia hio hali, kuna siku tumezingua chumbani nikawa natoka zangu saa 5 usiku hio nikale tu tungi, kashemeji kakanikimbilia na kuniambia tabia ya kutoka usiku kila nikirumbana na dada yake sio nzuri, niwe naenda tu room kwake kulala.
WoyooooooooHuyo mumeo anashida sana
Shemeji yako bonge la mtu, hebu fanya tu Kama umekosea, nitumie namba yakeHaya wanapitia wengi mimi tulikua tunagombana sana yaani ulichoeleza hapo juu ni kama mimi tu.