Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

Nchini mwetu kuna matukio Makubwa mawili ya ushushwaji na Upandishwaji wa Bendera. Tukio la Kwanza ni lile la kila siku ambapo Bendera hupandishwa Asubuhi na Kushushwa usiku. Mtindo huu tumeuiga toka kwa waingereza na hauhusishi bendera zilizozimikwa kwa ulalo bali unahusisha bendera zilizo kwenye milingoti wima.

Zamani bendera zilitumika kwa makundi ya kivita au majeshi ya nchi na usiku zilikuwa zinatembezwa na wabeba bendera maalumu na ndiyo maana kwenye Magwaride kuna kile kikosi kinaitwa "kikosi cha bendera" ambacho hubeba bendera tatu". Majeshi au vikundi vya kivita vilikuwa vikiteka maeneo husimika bendera ya Kikundi chao au ya nchi kama utambulisho kwa makundi au majeshi ya nchi nyingine yakifika kuwa eneo hilo linamilikiwa na kikundi au nchi hiyo.

Mitindo ya upeperushaji na upandishaji bendera hutofautiana kati ya nchi na nchi. Kwa Tanzania bendera hupandishwa Asubuhi kuonyesha kwamba Utawala wa kiraia unaofuata sheria unaanza na kushushwa jioni kuonyesha kinyume chake!! Tukio la pili ni anapoapishwa Rais Mpya.

Kabla ya Rais Kuapishwa, Rais anayemaliza muhula wake (hata kama ni huyohuyo) hukagua gwaride la Heshima. Wakati anapokwenda kuapishwa bendera ya Rais hushushwa kuashiria kwamba kisheria nchi haina Rais. Na kama hapo yule anayetarajiwa kuapishwa akifa ghafla yule aliyemaliza muda wake hawezi kuurudia urais kwani atakuwa ameshauvua kwa kiashiria cha bendera kushushwa.
 
Katika nchi nyingi ambazo uzalendo wa nchi uko mbele na sio chama mbele katika mikutano ya vyama vya siasa hasa katika kampeni za uchaguzi ..ni bendera ya taifa ndio inayopepea na kutumiwa na vyama na wananchi na sio bendera ya chama....
Kwa mtazamo wangu kutumia bendera ya taifa na sio ya chama kwenye mikutano ya chama ni uzalendo na kuweka maslahi ya taifa mbele..
 
Tukatae kwa nguvu zote kuwa na sara za kuvaa na bendera za vyama za kutembea nazo... aidha Bendera za Kutambua Office za vyama ziruhusiwe.
 
Bado hatujafika katika level hiyo ktk nchi zinazoendelea kwasababu tutaona bendera yetu ikizalilishwa na wanasiasa mpaka basi bado sana tena sana kulinganishwa na nchi km USA
 
Tanzania ni taifa la ajabu sana.

Bendera ya taifa ni kielelezo cha utaifa ambacho kila raia anapaswa kujivunia iwe ndani ya nchi ama nje ya nchi.

Bahati mbaya sana raia wa Tanzania kuipta bendera yao ni sawa na vile kuitafuta pepo.

Ukitaka kuipata bendera ya taifa hil unatakiwa kuwa na barua ya taasisi ama serikali ya mtaa ya kwamba kwani nini unahitaji bendera ambayo inuzwa kwenye maduka ya serikali tuu kwa bei ya kati ya shilingi 25,000/= hadi 30,000/=.

Duka la serikali linapatikana Dar es salaam tu. Huu ni ushamba.

Kwenye mataifa ya wenzetu bendera za taifa zimejaaa kwenye maduka mitaani kwa afordable pricess kwa kila raia anayeitaji.

Ukienda Ghana, Bendera za taifa zimezagaa mitaani, lakini hapa bongo inafanywa kuwa bidhaa adimu.

Nauliza, kwa nini Serikali ya Tanzania imeamua kuifanya bendera ya taifa bidhaa adimu kwa raia wake na hata wale wanaotoka nje ya nchi? Huu sio sehemu ya ushamba?
 
CCM wanaogopa bendera yao kufunikwa,kuna baadhi ya watu huko vijijini wanajua bendera ya ccm ndio ya taifa.
 
Si kweli Kuwa inapitikana Dar tu, mikoani inapitikana katika ofisi za bohari UKIWA na document inayotolewa mahsusi kwa taasisi za serikali kwa ajili ya kununulia bidhaa katika maduka ya serikali unaipata... UKIWA na BARUA ya mtendaji wa kata unaipata ili mradi uwe umeainisha unatumia kwa kazi gani
 
mbona wenzetu hadi kwenye mamovie wanapeperusha bendera yao jaman me wakat bendera ya marekani inapatkana kwa yeyote anayeitaka tena bla process kama nakwenda kuoa mke ndomana haijulkan sana iltakiwa had kwny movie za kibongo ipeperushwe
 
Tanzania ni taifa la ajabu sana.

Bendera ya taifa ni kielelezo cha utaifa ambacho kila raia anapaswa kujivunia iwe ndani ya nchi ama nje ya nchi.

Bahati mbaya sana raia wa Tanzania kuipta bendera yao ni sawa na vile kuitafuta pepo.

Ukitaka kuipata bendera ya taifa hil unatakiwa kuwa na barua ya taasisi ama serikali ya mtaa ya kwamba kwani nini unahitaji bendera ambayo inuzwa kwenye maduka ya serikali tuu kwa bei ya kati ya shilingi 25,000/= hadi 30,000/=.

Duka la serikali linapatikana Dar es salaam tu. Huu ni ushamba.

Kwenye mataifa ya wenzetu bendera za taifa zimejaaa kwenye maduka mitaani kwa afordable pricess kwa kila raia anayeitaji.

Ukienda Ghana, Bendera za taifa zimezagaa mitaani, lakini hapa bongo inafanywa kuwa bidhaa adimu.

Nauliza, kwa nini Serikali ya Tanzania imeamua kuifanya bendera ya taifa bidhaa adimu kwa raia wake na hata wale wanaotoka nje ya nchi? Huu sio sehemu ya ushamba?

Kwa nini usishoneshe ya kwako?
Siyo lazima kila kitu tufanyiwe.
 
Hivi bendera ya Tanzania ni patented? Kama jibu ni ndiyo, nani mwenye patent na inaisha lini?
 
Mkuu huko wapi nikuuzie ya kwangu nilinunua hapo Dar airport tena kwa bei mbaya. Baada ya kutiwa aibu na serikali ya Tanzania, naona aibu kuitwa Mtanzania na bendera nataka niuze au nikupe bure
 
MnyikaOfisi(2)(3).jpg
Lema1(12)(1).jpg

images
images
images

Tunatakiwa kuzifahamu bendera mbalimbali rasmi za taifa taifa letu zenye kuashiria mamlaka na mihimuli yake. Bendera nyingi zinazofahamika zaidi kwa wananchi ni za vyama vya siasa, lakini kimsingi bendera za vyama vya siasa nchini haziakisi bendera ya msingi au bendera mama ya Taifa.

Bendera ya Bunge na Bendera ya jeshi la Polisi ni mfano mzuri wa bendera zenye kuakisi utaifa.

Inaleta picha nzuri ndani ya bendera husika kuwepo na kipande cha bendera ya taifa.
 
Habari wanajamvi,

Ningependa kuwa na Bendera ya Taifa nyumbani kwangu, Utaratibu gani naweza tumia kuipata.
 
Katika uchaguzi wa Papa huko Vatican jana niliona baadhi ya waamini wengi wakiwa na bendera zao za taifa. Sasa kinachonishangaza Watanzania tuliwakilishwa na Kadinali Pengo katika kuchagua papa. Hii ni heshima kubwa sana kwetu swali hapa ni je hapakuwa na Watanzania pale St Peter's square? Kama walikuwepo je hawakuwa na bendera yetu ya Taifa?
 
Back
Top Bottom