Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

Wewe ulienda? Kama ulienda kwa nini hukubeba bendera?

Kama hukuenda, utategemeaje mtu mwingine aende na kufanya unachotaka wewe? Ulikubaliana na nani?

Huu si ndio ubwanyenye wenyewe huu? Bendera utake ipeperushwe wewe, kubeba abebe mwingine.

Enzi za utumwa na manamba jinsi hiyo zimepita.

Kama unapenda sana kuona bendera toa tenda, tangaza kidau, tiketi na viza juu, per diem na makolokolo, wadau watachangamkia dili.

Usitake ku assume assume tu kwamba wabongo walikuwepo pale, au wanataka kujulikana kama wabongo, ama wanaipenda nchi yao, ama wana hela ya kununua bendera, ama hata wangetaka bendera inapatikana kila kona.

Zaidi ya yote, ukitaka kitu kifanye. Usingoje kufanyiwa na mwingine.

Nyerere hajafundisha Kujitegemea?

My bad, alijicontradict alipoweka pamoja "Ujamaa na Kujitegemea".

Mpaka leo watu bado wanataka kufanyiwa mambo na serikali, na wananchi wenzao, na mtu yeyote yule kasoro kufanya wao wenyewe.
 
Kama kawaida yetu. Kila siku tunawaza copy & paste.

Mwalimu Nyerere ameliangamiza taifa. Hakuna dalili zinazoonyesha kama watu wataondokana na dhana/fikra tegemezi.

Kwa fikra na mawazo yako, kwa vile kuna watu walibeba bendera basi hata Watanzania wangefanya hivyo. Kwa nini usifikirie vinginevyo.
 
Nchi maskini, mafisadi kibao, njaa kali, ajira hakuna, n.k lakin bado mnawaza bendera badala ya kuwaza kukomboa nchi toka kwa wachache
 
Wale waliokuwa na bendera ni vikundi vya watalii. Wewe hata Mikumi hajatia mguu sembuse Vatican?
 
Katika uchaguzi wa Papa huko Vatican jana niliona baadhi ya waamini wengi wakiwa na bendera zao za taifa. Sasa kinachonishangaza Watanzania tuliwakilishwa na Kadinali Pengo katika kuchagua papa. Hii ni heshima kubwa sana kwetu swali hapa ni je hapakuwa na Watanzania pale St Peter's square? Kama walikuwepo je hawakuwa na bendera yetu ya Taifa?

Yaani kwenye tukio zima wewe umeona bendera tu. Kweli tuna akili lakini kila mtu ana zake. Ndio maana tunaibuka na 60% 0z wakati mtihani ni uleule walofanya wenye div 1
 
Katika uchaguzi wa Papa huko Vatican jana niliona baadhi ya waamini wengi wakiwa na bendera zao za taifa. Sasa kinachonishangaza Watanzania tuliwakilishwa na Kadinali Pengo katika kuchagua papa. Hii ni heshima kubwa sana kwetu swali hapa ni je hapakuwa na Watanzania pale St Peter's square? Kama walikuwepo je hawakuwa na bendera yetu ya Taifa?
kwetu ukiwa na bendela ni kosa
 
Wadau heshima zenu .Nimeona katika taarifa ya Habari usiku huu ITV ofisi za CUF wanapeperusha Bendera zikiwa zimebebana .Kaeneo kadogo kakamezwa na Bendera ya Zanzibar .Wakuu hii imenishitua kidogo hebu wenye uelewa na tafasiri ya CUF Bara na bendera ile . imekaaje hii .Msaada tutani tafadhali .
 
Wewe hujui sikuhizi na TV zinadanganya??? CUF hawaitambui hiyo Bendera ya Tanzania....
 
hiyo ndo bendera ya zanzibar
 
Attachments

  • flag_znz.jpg
    flag_znz.jpg
    24 KB · Views: 506
...walitakiwa kupeperasha hii hapa!

images

images

...hii hapana
attachment.php
 
kama ni ofisi ya Zanzibar, kule bendera ya znz na ya jamhuri ya muungano zote hupeperushwa. kwa huku bara, bendera ya znz haipeperushwi
 
Hio ndio Bendera ya Zanzibar na ya mkoloni wetu Tanganyika iko juu pembeni
 
Back
Top Bottom