Manyi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 3,253
- 605
Bendera inachanganya kama muungano wenyewe
Ha ha ha haaam, ni kweli kabisa mkuu!
Bendera inachanganya kama muungano wenyewe
yaani na kwingine unapita imepaukaaaaaaaaaa mvua,jua twende,,,while zamani tulikuwa tunapigiwa filimbi kabisa kila mtu anasimama inaposhushwa na kupandishwaSiku hizi haiheshimiwi kabisa, na kuna baadhi ya ofisi za serikali walinzi wamekuwa wavivu kiasi cha kuamua kutokushusha kabisa hiyo bendera ya taifa, inapepea 24 hrs hakuna kushusha wala kupandisha.
Kuna ofisi nyingine wanashusha hadi saa 1 usiku.
Uzalendo umeshakwisha katika hii nchi,
kweli kabisa, sehemu nyingine zimechanika zipo nusu yaani aibu kweli.yaani na kwingine unapita imepaukaaaaaaaaaa mvua,jua twende,,,while zamani tulikuwa tunapigiwa filimbi kabisa kila mtu anasimama inaposhushwa na kupandishwa
Juzi nilipita mahali Bendera ya Taifa inashushwa...sasa mind yangu ikakumbuka haraka miaka ya zamani tulikatisha kituo cha polisi saa kumi na mbili wanashusha Bendera almanusura turushwe vichura kisa hatukusimama imeadiately....cha ajabu hii ya juzi naona hata polisi wenyewe wanaendelea na shughuli zao ndipo nimeamua kuuliza hii sheria imekuwa zilipendwa ama?
kweli kabisa, sehemu nyingine zimechanika zipo nusu yaani aibu kweli.
Kwakweli,ni kitendo kinachotakiwa tukiongee namna hii kiuchungu kabisa yaani hiii si jambo la mzaha hata kidogo la wala hatutakiwi kulichanganya na itikadi za vyama hili ni la Utaifasiku hizi hata nyimbo ya taifa kuwakuwa waiwezayo ni mtihani. nakwambia kama kigezo cha uhamiaji haramu kingekuwa kujua kuuimba wimbo wa taifa wachache sana wangekuwa watanzania halisi wengi wangeitwa wahamiaji haramu na kufukuzwa.
ipo haja ya kuhifadhi tunu zetu za taifa kwa vizazi hadi vizazi.
Kama Kada fulani wa Chama fulani anavaa bendera ya Taifa shingoni na kupangusia jasho, hapo kuna thamani tena ya bendera?