Kwanza bendera ya taifa haina rangi ya njano, pole mwalimu wako wa shule ya msingi alikudanganya!
Ukweli replace rangi ya njano kwa
rangi ya dhahabu... tulijua tuna dhahabu na madini mengine tangu miaka hiyo;
kamata ukweli huu hapa
au kula kilaini hapa
The National Flag
Ratio length to breadth: Three to two, e.g. 3ft. x 2ft., 6ft. x 4ft. 12ft. x 8ft.
Description: Green - Golden - Black and Blue, having the black center stripe centred on diagonal rising from flag-mast to top edge of the fly, two smaller golden stripes dividing the upper triangle portion which is green and the lower triangle portion which is blue.
Proportions of colours: Black center stripe, centred on diagonal of flag of 6ft. x 4ft., is 13/48 of fly and 13" wide. Golden stripes are each 1/16 of fly and 3" wide.
Colour Code and Significance: B.S. No. 2660: 1955
Black: B.S. No. 9-103 - the People
Green: B.S. No. 0-010 - the Land
Blue: B.S. No. 0-012 - the Adjoining Sea
Golden: B.S. No. 0-002 - the Mineral wealth
Uwiano wa Urefu
Kwa Upana:-
Maelezo:
Tatu kwa mbili, mfano ft.3 x ft.2, ft.6 x ft.4, ft.12 x ft.8
Ina rangi za Kijani, Dhahabu, Nyeusi na Bluu ambapo rangi nyeusi imepita katikati ya bendera kuanzia pembe ya chini kwenye mlingoti na kuishia pembe ya juu kulia. Rangi hii huigawa bendera katika sehemu mbili zenye umbo la pembe tatu. Rangi nyeusi imetenganishwa na pember tatu ya juu yenye rangi ya kijani na pembe tatu ya chini yenye rangi ya bluu kwa mistari miwili midogo yenye rangi ya dhahabu.
Viwango vya rangi na maana zake.
Nyeusi - Kiwango na. 9-103 - Watu
Kijani - Kiwango na. 0-010 - Ardhi
Bluu - Kiwango na. 0-012 - Bahari + Maziwa
Dhahabu - Kiwango na. 0-002 - Madini Uwiano wa Rangi:
Rangi nyeusi kwa bender ya
Ft.6 x ft.4 ni 13/48 kwenda juu na
Ft.13 upana. Mistari ya dhahabu ni 1/16 kwenda juu na 3" upana kila mmoja.