Ipi ni Nafasi sahihi ya Makatibu Wenezi wa CCM katika utawala wa nchi?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,634
46,277
Suala la Katibu Mwenezi wa Taifa wa CCM, Makonda kuwaitisha, kuwataka majibu na kuwapa maelekezo mbalimbali viongozi wakubwa wa nchi limekuwa gumzo kubwa.
Wengine wakisema hana mamlaka hayo na wengine wakisema anayo.

Bado ni utata kama Katibu mwenezi wa chama mkoa anaweza kumuita na kumpa maelekezo Mkuu wa Mkoa, RPC, Menejea wa mkoa wa TANESCO, TARURA, TANROAD, Mganga mkuu wa mkoa n.k vivyo hivyo pia kwa katibu mwenezi wa Wilaya, Kata na Mtaa/Kijiji.

Iliwahi kutokea huko nyuma katika mkoa wa Arusha katibu mwenezi wa kata alimpigia simu daktari wa Zahanati siku ya sikukuu akimtaka kufika kazini hali iliyopelekea kurushiana maneno na kufokeana sana kati yao na kupelekea gumzo hadi lililopelekea Rais wa chama cha madaktari wa wakati huo kutoa kauli.

Sasa kuondoa sintofahamu hii na utata huu kinachotakiwa ni Msemaji wa Serikali, Matinyi pamoja na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa kutoka hadharani na kutoa kauli ya pamoja na thabiti nafasi ya wenezi wa chama na mipaka ya mamlaka yao kwa watendaji wa serikali katika kila ngazi.
 
Makonda akiwa kama msemaji wa chama chake ndie anayetakiwa kuwa na majibu ya kero za wananchi kule anapozunguka mikoani, na kama hao wenye majibu ni mawaziri husika wanaotekeleza ilani ya chama chao, basi ni lazima Makonda awaulize kulikoni.

Nawashangaa hao wanaomponda Makonda, ambao wengi wao naona ni chuki binafsi kutokana na past record ya Makonda, lakini wameshindwa kujiuliza, kama hawataki Makonda amuulize Bashe kuhusu uhaba wa sukari, walitaka awaulize wenyeviti wa serikali za mitaa huko anakopita? hao ndio wenye majibu sahihi?

Kama hamtaki Makonda awapigie simu hao, mnataka ampigie simu Samia akiwa Indonesia, kisha Samia ndio ampigie simu Bashe kumuuliza kulikoni juu ya uhaba wa sukari, wakati huo Makonda akiwa bado yupo kwenye mkutano wa wananchi, then Samia ndio amrudishie jibu Makonda ili awaambie wananchi hapo mkutanoni?! did this make sense to you?

- Au mnataka Makonda na Bashe wakae mikutanoni, kisha Makonda ndio awapelekee majibu ya kero zao next time?! Makonda kazi yake iwe ku list down kero za wananchi, then majibu atawapelekea siku nyingine!

Hapa shida inayowakumba wengi ukiondoa chuki binafsi, pia ni mazoea, wengi wetu bado wana ile mindset ya kulala maofisini, hawa hawataki kuchangamshwa, sasa Makonda amekuja kuwachangamsha naona wanamkasirikia, hawa simply wanataka mawaziri kama Bashe waendelee kulala mpaka Samia aje kuwaamsha, wasijue Samia ndio amempa Makonda hiyo kazi.

Makonda lazima ahangaike na hao mawaziri kwa kiasi kikubwa, kwa sababu wao ndio wahusika wakuu wa ilani ya chama chao, kuanzia ukosefu wa maji safi na salama, ubovu wa barabara, uhaba wa sukari, na kero nyingine zote, wenye majibu ya hayo maswali ni mawaziri husika, huu ndio ukweli mchungu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Makonda akiwa kama msemaji wa chama chake ndie anayetakiwa kuwa na majibu ya kero za wananchi kule anapozunguka mikoani, na kama hao wenye majibu ni mawaziri husika wanaotekeleza ilani ya chama chao, basi ni lazima Makonda awaulize kulikoni.

Nawashangaa hao wanaomponda Makonda, ambao wengi wao naona ni chuki binafsi kutokana na past record ya Makonda, lakini wameshindwa kujiuliza, kama hawataki Makonda amuulize Bashe kuhusu uhaba wa sukari, walitaka awaulize wenyeviti wa serikali za mitaa huko anakopita? hao ndio wenye majibu sahihi?

Kama hamtaki Makonda awapigie simu hao, mnataka ampigie simu Samia akiwa Indonesia, kisha Samia ndio ampigie simu Bashe kumuuliza kulikoni juu ya uhaba wa sukari, wakati huo Makonda akiwa bado yupo kwenye mkutano wa wananchi, then Samia ndio amrudishie jibu Makonda ili awaambie wananchi hapo mkutanoni?!

Hapa shida inayowakumba wengi ukiondoa chuki binafsi, pia ni mazoea, wengi wetu bado wana ile mindset ya kulala maofisini, hawa hawataki kuchangamshwa, sasa Makonda amekuja kuwachangamsha naona wanamkasirikia, hawa simply wanataka mawaziri kama Bashe waendelee kulala mpaka Samia aje kuwaamsha, wasijue Samia ndio amempa Makonda hiyo kazi.

Makonda lazima ahangaike na hao mawaziri kwa kiasi kikubwa, kwa sababu wao ndio wahusika wakuu wa ilani ya chama chao, kuanzia ukosefu wa maji safi na salama, ubovu wa barabara, uhaba wa sukari, na kero nyingine zote, wenye majibu ya hayo maswali ni mawaziri husika, huu ndio ukweli mchungu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja
P
 
Majukumu yake yanaishia kwa mawaziri wa chama chake au yako hadi kwa watumishi wa umma?
Anaweza kuwaita Wakurugenzi wa TANESCO, TANROAD, TARURA, MSD, HESLB, UDART, watoe majibu ?
Katibu mwenezi wa chama mkoa anaweza kumuita RPC, Mganga mkuu wa mkoa n.k kuwapa majibu wananchi?
Makonda akiwa kama msemaji wa chama chake ndie anayetakiwa kuwa na majibu ya kero za wananchi kule anapozunguka mikoani, na kama hao wenye majibu ni mawaziri husika wanaotekeleza ilani ya chama chao, basi ni lazima Makonda awaulize kulikoni.

Nawashangaa hao wanaomponda Makonda, ambao wengi wao naona ni chuki binafsi kutokana na past record ya Makonda, lakini wameshindwa kujiuliza, kama hawataki Makonda amuulize Bashe kuhusu uhaba wa sukari, walitaka awaulize wenyeviti wa serikali za mitaa huko anakopita? hao ndio wenye majibu sahihi?

Hapa shida inayowakumba wengi ukiondoa chuki binafsi, pia ni mazoea, wengi wetu bado wana ile mindset ya kulala maofisini, hawa hawataki kuchangamshwa, sasa Makonda amekuja kuwachangamsha naona wanamkasirikia, hawa simply wanataka mawaziri kama Bashe waendelee kulala mpaka Samia aje kuwaamsha, wasijue Samia ndio amempa Makonda hiyo kazi.

Makonda lazima ahangaike na hao mawaziri kwa kiasi kikubwa, kwa sababu wao ndio wahusika wakuu wa ilani ya chama chao, kuanzia ukosefu wa maji safi na salama, ubovu wa barabara, uhaba wa sukari, na kero nyingine zote, wenye majibu ya hayo maswali ni mawaziri husika, huu ndio ukweli mchungu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
....Sasa kuondoa sintofahamu hii na utata huu kinachotakiwa ni Msemaji wa Serikali, Matinyi pamoja na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa kutoka hadharani na kutoa kauli ya pamoja na thabiti nafasi ya wenezi wa chama na mipaka ya mamlaka yao kwa watendaji wa serikali katika kila ngazi.
usimtaje mchengerwa, juzi hapa katikiswa kama mbuyu akamtumua Mkurugenzi wa Halamashauri moja huko Tanga.

Nchi hii vilaza wengi
 
Majukumu yake yanaishia kwa mawaziri wa chama chake au yako hadi kwa watumishi wa umma?
Anaweza kuwaita Wakurugenzi wa TANESCO, TANROAD, TARURA, MSD, HESLB, UDART, watoe majibu ?
Katibu mwenezi wa chama mkoa anaweza kumuita RPC, Mganga mkuu wa mkoa n.k kuwapa majibu wananchi?
Kama hao wakurugenzi nao wanahusika kwa karibu na kero za wananchi lazima nao wapigiwe simu na Makonda.

Mgao wa umeme tulionao sasa hivi Makonda akiukizwa swali na wajasiriamali huko mikoani kama sio kuzungumza na waziri husika, basi lazima ahakikishe anazungumza na mtendaji mwingine anayehusika na hiyo kero kwa karibu, ili atoe majibu kwa wananchi.

The list goes on, wawe maafisa wa polisi kama wananchi wana kero inayowahusu, TAKUKURU, taasisi zote ambazo wakuu wake wanateuliwa na Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM watendaji wake wajue fika, hawawezi kumkwepa Makonda, labda kwa chuki tu za kina Nchimbi na Kinana, wazee waliozoea kufanya kazi kwa mazoea miaka yao yote.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona ni sawa tu. Maana wote ni chama kimoja na wanawajibishana sasa sisi tufanyaje zaidi ya kuunga mkono.

Hao watendaji ni wa serikali ya CCM na wanatekeleza ilani ya CCM na huyo Makonda ni kiongozi wa CCM. Wacha afanye kazi yake.
 
Hivibni vyeo visivyo na Job description
Yaani wana jiendesha kama gari lisilo na dereva.
Lakini, kipindi chote cha utawala wa Ccm ni wa kusikiliza kero kweli?
Nilidhani walitakiwa kupita kwa wananchi na kujivunia utawala ukio tukuka na sio wa kero tena
 
Kama hao wakurugenzi nao wanahusika kwa karibu na kero za wananchi lazima nao wapigiwe simu na Makonda.

Mgao wa umeme tulionao sasa hivi Makonda akiukizwa swali na wajasiriamali huko mikoani kama sio kuzungumza na waziri husika, basi lazima ahakikishe anazungumza na mtendaji mwingine anayehusika na hiyo kero kwa karibu, ili atoe majibu kwa wananchi.

The list goes on, wawe maafisa wa polisi kama wananchi wana kero inayowahusu, TAKUKURU, taasisi zote ambazo wakuu wake wanateuliwa na Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM watendaji wake wajue fika, hawawezi kumkwepa Makonda, labda kwa chuki tu za kina Nchimbi na Kinana, wazee waliozoea kufanya kazi kwa mazoea miaka yao yote.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hujajibu swali kuhusu makatibu wenezi wa mikoa, wilaya na kata kama nao wana mamlaka hayo na wanaweza kufanya hivyo katika ngazi zao.
 
Ni haki yao pia, hao makatibu wenezi nao wanaangalia kero za wananchi na kuzifanyia kazi, kama kero inamhusu waziri husika lazima apigiwe simu, acheni ushamba wa kuwageuza hao mawaziri miungu watu, hao ni wasimamizi tu wa ilani ya chama chao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Makonda akiwa kama msemaji wa chama chake ndie anayetakiwa kuwa na majibu ya kero za wananchi kule anapozunguka mikoani, na kama hao wenye majibu ni mawaziri husika wanaotekeleza ilani ya chama chao, basi ni lazima Makonda awaulize kulikoni.

Nawashangaa hao wanaomponda Makonda, ambao wengi wao naona ni chuki binafsi kutokana na past record ya Makonda, lakini wameshindwa kujiuliza, kama hawataki Makonda amuulize Bashe kuhusu uhaba wa sukari, walitaka awaulize wenyeviti wa serikali za mitaa huko anakopita? hao ndio wenye majibu sahihi?

Kama hamtaki Makonda awapigie simu hao, mnataka ampigie simu Samia akiwa Indonesia, kisha Samia ndio ampigie simu Bashe kumuuliza kulikoni juu ya uhaba wa sukari, wakati huo Makonda akiwa bado yupo kwenye mkutano wa wananchi, then Samia ndio amrudishie jibu Makonda ili awaambie wananchi hapo mkutanoni?! did this make sense to you?

Hapa shida inayowakumba wengi ukiondoa chuki binafsi, pia ni mazoea, wengi wetu bado wana ile mindset ya kulala maofisini, hawa hawataki kuchangamshwa, sasa Makonda amekuja kuwachangamsha naona wanamkasirikia, hawa simply wanataka mawaziri kama Bashe waendelee kulala mpaka Samia aje kuwaamsha, wasijue Samia ndio amempa Makonda hiyo kazi.

Makonda lazima ahangaike na hao mawaziri kwa kiasi kikubwa, kwa sababu wao ndio wahusika wakuu wa ilani ya chama chao, kuanzia ukosefu wa maji safi na salama, ubovu wa barabara, uhaba wa sukari, na kero nyingine zote, wenye majibu ya hayo maswali ni mawaziri husika, huu ndio ukweli mchungu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mkuu hatar maana hapa matumbo yanawaka moto hata pipmis hazijaziki tunaogopa huyu jamaa anatakuja na maswali gani ,nimetoka tinde hapo acha nirudi mitaa ya jamukaya
 
Chama ndicho kinatawala na kuongoza serikali ya nchi, madaraka yaliyopo ndani ya chama yana nguvu ya kuwawajibisha walipo ndani ya serikali wasio na madaraka ndani ya chama.

Wakomunisti wana mambo na mifumo yao ya ajabu ajabu.

Makonda ni mpiga propaganda wa chama ila kuna baadhi ya mambo na maamuzi anafanya hayana afya.

Yeye kazi yake ni mpiga kelele tu wa chama, wakomunisti siasa zao za ajabu ajabu
 
Unajitahidi katika spinning na cherry picking
Tatizo lenu ni mazoea, tokeni huko na chuki muache, kama maandiko nimekuwekea hapo, maswali mepesi umeuliza nimekujibu, naona umeamua ku conclude upendavyo ili uendelee kumuona Makonda anakosea, but the truth is, HAKOSEI. Jamaa yupo kazini hapo.

Mjiulize, kama mawaziri wanaruhusiwa ku deal na ilani ya chama chao, then kwanini Makonda nae asihangaike nao?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Uwajibishaji anapaswa kufanya mwenyekiti wake wa chama au makamu mwenyekiti at least kidogo katibu wa chama chao naye anayo power lakini mpaka ridhaa ya mwenyekiti na makamu.

Makonda yeye ni mpiga kelele hayo mambo ya kuwajibisha hiyo nguvu kapewa na nani ndani ya chama ? Na kwa sheria ipi ? na kwa mfumo upi ? Mpiga propaganda wa chama kuwa uwezo wa kuwawajibisha watendaji wa serikalini
 
Jikite kwa huyu mwenezi wa kata achana na Makonda
 
Makonda akiwa kama msemaji wa chama chake ndie anayetakiwa kuwa na majibu ya kero za wananchi kule anapozunguka mikoani, na kama hao wenye majibu ni mawaziri husika wanaotekeleza ilani ya chama chao, basi ni lazima Makonda awaulize kulikoni.

Nawashangaa hao wanaomponda Makonda, ambao wengi wao naona ni chuki binafsi kutokana na past record ya Makonda, lakini wameshindwa kujiuliza, kama hawataki Makonda amuulize Bashe kuhusu uhaba wa sukari, walitaka awaulize wenyeviti wa serikali za mitaa huko anakopita? hao ndio wenye majibu sahihi?

Kama hamtaki Makonda awapigie simu hao, mnataka ampigie simu Samia akiwa Indonesia, kisha Samia ndio ampigie simu Bashe kumuuliza kulikoni juu ya uhaba wa sukari, wakati huo Makonda akiwa bado yupo kwenye mkutano wa wananchi, then Samia ndio amrudishie jibu Makonda ili awaambie wananchi hapo mkutanoni?! did this make sense to you?

- Au mnataka wakae mikutanoni kisha Makonda ndio awapelekee majibu ya kero zao next time?!

Hapa shida inayowakumba wengi ukiondoa chuki binafsi, pia ni mazoea, wengi wetu bado wana ile mindset ya kulala maofisini, hawa hawataki kuchangamshwa, sasa Makonda amekuja kuwachangamsha naona wanamkasirikia, hawa simply wanataka mawaziri kama Bashe waendelee kulala mpaka Samia aje kuwaamsha, wasijue Samia ndio amempa Makonda hiyo kazi.

Makonda lazima ahangaike na hao mawaziri kwa kiasi kikubwa, kwa sababu wao ndio wahusika wakuu wa ilani ya chama chao, kuanzia ukosefu wa maji safi na salama, ubovu wa barabara, uhaba wa sukari, na kero nyingine zote, wenye majibu ya hayo maswali ni mawaziri husika, huu ndio ukweli mchungu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Denoo lazima nikupe kongole.Wewe huwa hupindishi ukweli hata kama unatoka upande ulipo.
Ni ukomavu mkubwa kusema ukweli no matter what.
 
Jikite kwa huyu mwenezi wa kata achana na Makonda
Kwanza tukubaliane, Makonda hana kosa? Sema ndio ili niendelee na huyo mwenezi wako mwingine.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Uwajibishaji anapaswa kufanya mwenyekiti wake wa chama au makamu mwenyekiti at least kidogo katibu wa chama chao naye anayo power lakini mpaka ridhaa ya mwenyekiti na makamu.

Makonda yeye ni mpiga kelele hayo mambo ya kuwajibisha hiyo nguvu kapewa na nani ndani ya chama ? Na kwa sheria ipi ? na kwa mfumo upi ? Mpiga propaganda wa chama kuwa uwezo wa kuwawajibisha watendaji wa serikalini
Wapi amewajibisha?Anauliza maswali kwa niaba ya wananchi walio na kero mbalimbali za kitaifa na binafsi.
Akikaa kimya nongwa akifuatilia nongwa. Watu wengine sijui hata wanataka nini.
 
Wapia amewajibisha?Anauliza maswali kwa niaba ya wananchi walio na kero mbalimbali za kitaifa na binafsi.
Akikaa kimya nongwa akifuatilia nongwa. Watu wengine sijui hata wanataka nini.
Kazi za mpiga kelele wa chama ni zipi ? Na kazi za katibu mkuu wa chama ni zipi ?

Katika mfumo wa siasa za kikomunisti
 
Back
Top Bottom