Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Hangaya Fanya mipango labda Mbowe Umsweke ndani daima..ila kama atashinda mapema tu mwaka huu wali utajuta kufika hio2025 pia wanawake wenyewe hawakukubali huku mtaani wewe uwe Rais labda hao kina JOKATE wanaotaka ulaji tu.
 
Katiba ipi na kifungu kipi?!!..Yeye alikua Makumu wa Raisi/amekuja kuwa Raisi Kwa Mujibu wa Katiba!!..2025 anagombea rasmi!!.. anaweza kuongoza for 14 Years kama akipenda na chama kikiona inapendeza!!
Hapana ndugu katiba haisemi hivyo. Katiba inasema kama makamu wa Rais akiukwaa urais miaka si chini ya mitatu kabla ya uchaguzi, basi itahesabika ametumikia kipindi kimoja na kwa hivyo atakuwa ana haki ya kugombea kwa kipindi kimoja pekee ili akamilishe kipindi cha pili. Kwa hivyo kwa mjibu wa katiba Samia kabakisha kipindi kimoja tu kama atataka kugombea.
 
Wabongo kwa kujifanya wajuaji wa mambo hatujambo. Eti hawatamchagua dsm, mbeya na arusha, sijui huu utafiti wako uchwara umeufanya lini ukakupa haya majibu?
Mkuu hata bila utafiti ni vyema ukajua kwamba ubaguzi bado upo sana. Ni ngumu sana kwa mwanamama tena Mzanzibar kupata kura za kutosha kwa maeneo mengi tu huku bara. Na tuwe wakweli pia kwamba ni ngumu zaidi kwa Mzanzibari yoyote kupata kura za kutosha bara akipambanishwa na mbara yeyote hata kama sifa za huyo mbara ziko chini ya huyo mbara. Ili SHH awe Rais wa kuchaguliwa wa JMT lazima kufanyike kitu ambacho hakijawahi kuwepo.
 
Kudra za Mungu ? Mbona kaenda simikwa kuwa chief wa machief? Tunaongelea mungu yupi? Subhana au Yehova au?
Wananchi tunafuatilia na tunashangaa sana hao washauri waliomzunguka.

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Mama yupo sana tu, Raisi mwengine mpaka 2035 penye uhai na uzima.
Hii mi 4 ya kwanza si yake kairithi kwa JPM. 2025 ndio anaanza mi 10 yake hadi 2035 kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wadanganyika na wazenj.
Wana mshakanywa na Mama mishono muitulize isije fumuliwa.
Akina Mama hoyeeeeeeeeeeeee.
 
Mama yupo sana tu, Raisi mwengine mpaka 2035 penye uhai na uzima.
Hii mi 4 ya kwanza si yake kairithi kwa JPM. 2025 ndio anaanza mi 10 yake hadi 2035 kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wadanganyika na wazenj.
Wana mshakanywa na Mama mishono muitulize isije fumuliwa.
Akina Mama hoyeeeeeeeeeeeee.

Wenzio washampangia mitano utazani wao ndiyo katiba 😁
 
Nakwambia hivi yule Mungu wa Ibrahimu ndio wa Tanzania hawezi nyamaza subiri tukapige goti tena hamuwezi ifanya hii nchi namna hiyo.

Badala ufanye kazi ionekane uchaguliwe kwa kazi , unaongea ongea tu..... kila sehem tozo , umeme unakatika kila siku kazi haziendi , huduma za maji hovyoooo , askari wanaua tu na kupiga raia na kuingiza chuki na udini NAKWAMBIA HIVI UKIENDELEA HIVI HUO MHULA WA PILI NA WEWE HUMALIZI , Mtarudi kusoma huu uzi.
 
Back
Top Bottom