900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 5,724
- 6,088
c tunaambiwa mjini ma mama ndo dili kwa sasaAisee huyu ni sawa na mama yangu
USSR

Wapi hapo wewe?Katiba inataka raisi atoke Bara makamu wake atoke visiwani labda wabadili sheria
Katiba kwani inasemaje?Lakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.
CCM hata waweke tofali, bado tofali litashinda tukushinda kwake kunategemea upinzani wataweka mgombea gani
Nitakuwa wa kwanza kwenda kumpigia Samiah kura. Nampenda sana Samiah.... Mmmmmmmwaaaa!!!Rais Samia Suluhu amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke.
"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana
Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani.
Alisema Rais Samia Suluhu
Mengineyo, Rais Samia amesema ataendeleza mema yote katika awamu zote na watajitahidi kuongeza mema mengine.
Kuhusu usawa wa jinsia amesema hawajafika lakini wanawake wataendelea kuongezeka kwani asipofanya yeye hakuna ambae atafanya.
Sio kwamba katiba inasema Rais akitokea upande mmoja wa muungano makamu wa rais atoke upande wa pili wa muungano !!??Katiba inataka raisi atoke Bara makamu wake atoke visiwani labda wabadili sheria
Angemuliza vizuri Mzee wa Msoga bila JPM, upinzani ulikuwa unachukua nchi asubuhi.Jiwe na ukatili wake na ubabe wake Ila jasho lilimtoka 2020.
Huyu bibi hangaya Hadi kufika hiyo 2025 atakuwa kishasusa
UtaonaKusimama sio kazi. Hata mzee wa ubwabwa alisimama. Tatizo ni kushinda maana hata kijani wenzake hawamtaki.
vipi Kama hayo matokeo ndio mama mwenyewEti 2025 ndo Rais wa kike atachaguliwa. Mbona anajihakikishia sana. Hapo ndo utajua CCM huwa haitegemei kura za wananchi, bali wanakuwa na matokeo yao tayari.
Ameshaanza kupandisha mabega anaamini kuwa ameshalisambaratisha Sukuma Gang.Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke.
"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana
Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani.
Alisema Rais Samia Suluhu
Mengineyo, Rais Samia amesema ataendeleza mema yote katika awamu zote na watajitahidi kuongeza mema mengine.
Kuhusu usawa wa jinsia amesema hawajafika lakini wanawake wataendelea kuongezeka kwani asipofanya yeye hakuna ambae atafanya.
View attachment 1938704
Ngoja tumwambieNi haki yake ya kikatiba ila tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi wa 2025.
Na yeye kumbe anajua kuwa Uhuru ni kigazeti cha uchochezi tu.Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke.
"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana
Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani.
Alisema Rais Samia Suluhu
Mengineyo, Rais Samia amesema ataendeleza mema yote katika awamu zote na watajitahidi kuongeza mema mengine.
Kuhusu usawa wa jinsia amesema hawajafika lakini wanawake wataendelea kuongezeka kwani asipofanya yeye hakuna ambae atafanya.
View attachment 1938704
Sema Msoga Gang mna imani nayeMama chapa kazi watanzania tuna imani na wewe
Kutambua uwepo wa Mungu ni jazba? Basi ahsante mkuu.Dah pole mkuu inaonekana unajiziba kweli na kuchukizwa na yanayo endelea
Yaani we unaongea kama hauko tanzania. Wapinzani mbona wanashindaga lakini anayetangazwa ni mwingine. Jpm tu kabla hata watu hawajapiga kura alikuwa tayari ana kura nyingi ametengenezewa na tume na hilo lisu alilizungumzia. Ushindi wa ccm hautegemeani na kura za wananchi.kushinda kwake kunategemea upinzani wataweka mgombea gani