Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Eeh...Yamekuwa hayo
ef1c7924-546c-4ad5-b6f4-a89f1e219efb.jpg
 
Lakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.
Hapana tusianze kuchanganya issues sasa hivi! Kwanza muda wenyewe bado na hakuna atakaye thubutu kusema anautaka Urais 2025? Labda Januari, huyu anaweza kusema ili wafadhili wake wakae mkao wa kutayarisha mapesa, lakini kwa akina mama hakuna! Turudi kwenye hoja, nadhani Katiba inamruhusu Rais SSH kugombea kwani hajawahi kuwa mgombea wa URAIS na kushinda, kama alivyosema yeye mwenyewe hii ya kwake ya sasa hivi ni kwa kudra ya Mwenyezi Mungu, muhula wake wa kugombea utaanza 2025! Au wewe unaonaje!?
 
Back
Top Bottom