Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

Mnapokosea ni ile kusema ati asifanye kazi na watu wa Maguguli.I can tell you hapo mnakosea sana na mnataka kumwangusha.Wabunge wote waliyopo ni wa Magufuli.sasa unaposema ati asifanye kazi na watu wamagufuli what do you mean ?Hivi wakitaka kumwangusha si ni kupitisha azimio kule bugeni kuwa hawana Imani na Rais? What is so wrong akifanya kazi na watu wa Magufuli? Guys acheni kumpotosha rais wetu.Na akifanya vita na watu wa Magufuli vita hii itamshinda vibaya sana.Yawezekana kuna mahara JPM alikosea lakini makosa yake ni 5% ya mabaya yake compared to 95 % ya mazuri aliyoifanyia nchi hii.She better be careful na watu wa Magufuli. Mnapokosea etu watu wa Magufuli ni wasukuma.you are 100% wrong.

Hata wabunge wanaojifanya kuwa wanamchukia JPM wakati yeye ndiye aliyewapitisha na kuwanadi kwa waanchi,nao mwisho wao 2025.Nawashauri wafanye kazi kwa kufuata ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020 ,mambo mengini hayana faida kwa taifa letu.
Mama ukifanya vita na watu wa Magufuli iko siku watakurushia bomu la shutuma hutapona walahi.
Hahahaha mkuu nakuona ukiamini sukuma gang Wana nguvu sana hahahaha hivi ni vichekesho kama vile vya Voda/tigo tu .

Hawana lolote na hawajawahi kuwa na lolote Hawa wa kupiga chini

Stori za wabunge ni zao la magu na Bado wanaamini kwenye upuuzi wa magu ni stori za kitoto tu sijui watapitisha azimio hawana imani na raisi (wakati wanapitisha ye amekaa tu akiwasubiri wajikusanye kusanye ) anawaachaje kulifuta bunge

Mkuu kifupi we ni mnufaika wa sukuma gang na unawapigia promo kijanja hawa wapuuzi wataondoka mmoja baada ya mwingine na hawatakuwa na Iyo nguvu uisemayo (wakitoka tu nje ya mfumo kwisha habari yao)
 
Leo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya kuupambania urais wake kwa hali na mali. Hali ni tete mnoo kwake, na hatakubali!

Bila kumumunya maneno, wacha tuuseme ukweli ili kumsaidia Rais Samia popote alipo na ikibidi utafute njia ya kutokea.

Kwanza niweke wazi jambo moja kubwa na muhimu, kwa sasa Rais Samia amepoteza uungwaji mkono kutoka makundi yote muhimu ya kijamii na kisiasa, yaani umechokwa. Hili halina ubishi na halihitaji takafari yote yote kubwa.

Kitendo cha mama Samia kuja hadharani na kukiri kuwa 'wenzake wanamzunguka' hivyo hatakubali! Hapo tunaona picha kubwa moja tu, maji yamezidi unga na mama Samia anahitaji msaada ili avuke.

Sasa kuna jambo moja kubwa pekee linaloweza kumuokoa mama Samia mahali alipo, hana ujanja inabidi alikimbilie. Kwa ufupi, jambo hilo ni;

Kutafuta muafaka wa kitaifa ili kuweza kuiunganisha nchi iliyoparaganyika vibaya kisiasa. Kama Samia hataweza kukaa na kumaliza tofauti zake na kundi kubwa la wafuasi wa Magufuli (sukuma gang) au wapinzani (hususani Chadema) basi ajue hawezi kutoboa. Hayo ndio makundi yenye nguvu kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, na kwa sasa yote mawili kwa pamoja (pasipo kuongozwa na mtu yoyote) yanasema wazi wazi kuwa mama Samia hafai, hatoshei kwenye kiti cha urais na hayamtaki tena. Huo ni uasi wa kisiasa.

Wakati ukuta, na majuto ni mjukuu, wenye hekima wamesh
.

Wakati ukuta, na majuto ni mjukuu, wenye hekima wameshaelewa!
Akae pembeni twende kwenye uchaguzi apatikane malaika asiyehujumiwa na wasaidizi wake.
 
Hapo umetaja chadema .kwa ufupo chadema wanampenda mama kuwa kuww maguful alikuwa adui wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mleta maada akili yako ni mgando kwelikweli, unaposema rais aachane na viongozi wa awamu ya Magufuli huone kwamba akili yako imelala nani atabaki,

Rais samia aliteuliwa na Magufuli atakuwa msaidizi wake kipindi cha utawala wake, leo samia ni rais ambaye aliyepitishwa na Magufuli, sio sisi wananchi tuliompa madaraka,
basi kama maana yako ni kuwakataa wafuasi wa kipindi cha Magufuli,basi aanze yeye kujitoa kwanza na si alitokea kwa Magufuli,
kama atafanya hivyo tutapata fursa ya sisi wananchi kuchagua rais anayetufaa

Halafu acha wivu na wasukuma ni jinsi gani unateseka uonapo msukuma yupo juu yako?
 
Mnapokosea ni ile kusema ati asifanye kazi na watu wa Maguguli.I can tell you hapo mnakosea sana na mnataka kumwangusha.Wabunge wote waliyopo ni wa Magufuli.sasa unaposema ati asifanye kazi na watu wamagufuli what do you mean ?Hivi wakitaka kumwangusha si ni kupitisha azimio kule bugeni kuwa hawana Imani na Rais? What is so wrong akifanya kazi na watu wa Magufuli? Guys acheni kumpotosha rais wetu.Na akifanya vita na watu wa Magufuli vita hii itamshinda vibaya sana.Yawezekana kuna mahara JPM alikosea lakini makosa yake ni 5% ya mabaya yake compared to 95 % ya mazuri aliyoifanyia nchi hii.She better be careful na watu wa Magufuli. Mnapokosea etu watu wa Magufuli ni wasukuma.you are 100% wrong.

Hata wabunge wanaojifanya kuwa wanamchukia JPM wakati yeye ndiye aliyewapitisha na kuwanadi kwa waanchi,nao mwisho wao 2025.Nawashauri wafanye kazi kwa kufuata ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020 ,mambo mengini hayana faida kwa taifa letu.
Mama ukifanya vita na watu wa Magufuli iko siku watakurushia bomu la shutuma hutapona walahi.
Namsubiri nape hakika umenena vyema kuna wwtu walishinda kwa performance nzuri ya magufuli kama kule arusna kwa gambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S'gang hawa muwezi Mama asilani...,wendelee kuchunga ng'ombe,wasahahu madaraka.
Ni kweli hawamuezi lakini asipokuwa makini watamsumbua sana, yeye alikuwa anatakiwa angalau awatendee wapinzani mazuri ili waweze japo kuwa naye pamoja kwenye kuliponya taifa, sasa huku nako ameharibu hasa kwenye kesi ya mbowe, ki ukweli, mtaani watu yale matumaini yao juu yake yamepotea sana!!
 
Leo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya kuupambania urais wake kwa hali na mali. Hali ni tete mnoo kwake, na hatakubali!

Bila kumumunya maneno, wacha tuuseme ukweli ili kumsaidia Rais Samia popote alipo na ikibidi utafute njia ya kutokea.

Kwanza niweke wazi jambo moja kubwa na muhimu, kwa sasa Rais Samia amepoteza uungwaji mkono kutoka makundi yote muhimu ya kijamii na kisiasa, yaani umechokwa. Hili halina ubishi na halihitaji takafari yote yote kubwa.

Kitendo cha mama Samia kuja hadharani na kukiri kuwa 'wenzake wanamzunguka' hivyo hatakubali! Hapo tunaona picha kubwa moja tu, maji yamezidi unga na mama Samia anahitaji msaada ili avuke.

Sasa kuna jambo moja kubwa pekee linaloweza kumuokoa mama Samia mahali alipo, hana ujanja inabidi alikimbilie. Kwa ufupi, jambo hilo ni;

Kutafuta muafaka wa kitaifa ili kuweza kuiunganisha nchi iliyoparaganyika vibaya kisiasa. Kama Samia hataweza kukaa na kumaliza tofauti zake na kundi kubwa la wafuasi wa Magufuli (sukuma gang) au wapinzani (hususani Chadema) basi ajue hawezi kutoboa. Hayo ndio makundi yenye nguvu kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, na kwa sasa yote mawili kwa pamoja (pasipo kuongozwa na mtu yoyote) yanasema wazi wazi kuwa mama Samia hafai, hatoshei kwenye kiti cha urais na hayamtaki tena. Huo ni uasi wa kisiasa.

Wakati ukuta, na majuto ni mjukuu, wenye hekima wameshaelewa!
JPM hakusumbuliwa na kutishwa na makundi ya MTANDAO ndani ya CCM wala hao CHADEMA waliokuwa KIMYAAAA kipindi cha awamu ya 5........

Mh.Chifu mkuu Hangaya anaupiga mwingi na aendelee kuchanganya STYLE ya JPM na STYLE ya upole wake.....

NCHI NGUMU HII kwani haijawahi kupata RAIS aliyekubaliwa na kusifiwa na makundi mengi MAKUBWA....

ADUMU CHIFU WETU MKUU HANGAYA🙏

ADUMU MH.RAIS SSH, aaamin aaamin🙏

SIEMPRE JMT🙏
 
Kama Samia hataweza kukaa na kumaliza tofauti zake na kundi kubwa la wafuasi wa Magufuli (sukuma gang) au wapinzani (hususani Chadema) basi ajue hawezi kutoboa.
Ili mradi anaenda sawa na dola hakuna shida. Atatoboa. Rais wa nchi hii kikatiba ni kama Mungu. Nani wa kuzuia akitakacho? Kivipi anazuiwa rais kuupata urais ili hali wakurugenzi kawaweka yeye na ndiyo wasimamizi wa uchaguzi?
 
Mnapokosea ni ile kusema ati asifanye kazi na watu wa Maguguli.I can tell you hapo mnakosea sana na mnataka kumwangusha.Wabunge wote waliyopo ni wa Magufuli.sasa unaposema ati asifanye kazi na watu wamagufuli what do you mean ?Hivi wakitaka kumwangusha si ni kupitisha azimio kule bugeni kuwa hawana Imani na Rais? What is so wrong akifanya kazi na watu wa Magufuli? Guys acheni kumpotosha rais wetu.Na akifanya vita na watu wa Magufuli vita hii itamshinda vibaya sana.Yawezekana kuna mahara JPM alikosea lakini makosa yake ni 5% ya mabaya yake compared to 95 % ya mazuri aliyoifanyia nchi hii.She better be careful na watu wa Magufuli. Mnapokosea etu watu wa Magufuli ni wasukuma.you are 100% wrong.

Hata wabunge wanaojifanya kuwa wanamchukia JPM wakati yeye ndiye aliyewapitisha na kuwanadi kwa waanchi,nao mwisho wao 2025.Nawashauri wafanye kazi kwa kufuata ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020 ,mambo mengini hayana faida kwa taifa letu.
Mama ukifanya vita na watu wa Magufuli iko siku watakurushia bomu la shutuma hutapona walahi.

Magufuli aliwanadi wabunge wa CCM kwa wananchi, kwani walishinda uchaguzi kwa kura? Ama Magufuli aliagiza watangazwe kibabe ili kuficha aibu ya kuikosesha CCM ushindi ilioutamani? Hamna cha ilani ya CCM bali uhuni mtupu.
 
Ningelipata nafasi ya kumshauri Mama neno moja tu, ningemshauri ahamishie alichokifanya Karume Jr, afanye kampeni ya muafaka wa kitaifa, serikali ya umoja wa kitaifa, katiba ibadilishwe kuwapatia room wapinzani.

In that case, CCM itajihakikishia kubaki na wapinzani watajihakikishia nafasi ya ushiriki kwenye serikali.

Kuongoza watanganyika ni rahisi sana, coz wengi wao wanalilia maslahi tu! Agawe keki ya taifa kwa wote.
Kosa kubwa alilofanya mama ni kutovunja baraza la mawaziri alipochukuwa madaraka!
 
kwanza tuambiwe na mifumo rasmi ya uchunguzi Dr. Magufuli alikufa je? kila nafsi itaonja mauti ila tunataka tu kujua ilikuwa je mpaka mzee wa watu akafikwa na umauti?
Mmmh aisee, Magufuli alikuwa ni binadamu kama binadamu wengine yaani km mimi na wewe, mwanadamu yeyote kufa ni lazima wala si hiari, hivyo hata km alizungukwa na ulinzi wa namna gani hakuna awezaye kuzuia kifo haijalishi kinakuja kwa namna gani! Sidhani km kuna haja sana ya kujiuliza huyu Hayati Magufuli alikufaje
 
Mnapokosea ni ile kusema ati asifanye kazi na watu wa Maguguli.I can tell you hapo mnakosea sana na mnataka kumwangusha.Wabunge wote waliyopo ni wa Magufuli.sasa unaposema ati asifanye kazi na watu wamagufuli what do you mean ?Hivi wakitaka kumwangusha si ni kupitisha azimio kule bugeni kuwa hawana Imani na Rais? What is so wrong akifanya kazi na watu wa Magufuli? Guys acheni kumpotosha rais wetu.Na akifanya vita na watu wa Magufuli vita hii itamshinda vibaya sana.Yawezekana kuna mahara JPM alikosea lakini makosa yake ni 5% ya mabaya yake compared to 95 % ya mazuri aliyoifanyia nchi hii.She better be careful na watu wa Magufuli. Mnapokosea etu watu wa Magufuli ni wasukuma.you are 100% wrong.

Hata wabunge wanaojifanya kuwa wanamchukia JPM wakati yeye ndiye aliyewapitisha na kuwanadi kwa waanchi,nao mwisho wao 2025.Nawashauri wafanye kazi kwa kufuata ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020 ,mambo mengini hayana faida kwa taifa letu.
Mama ukifanya vita na watu wa Magufuli iko siku watakurushia bomu la shutuma hutapona walahi.
Hao ni wabunge maslahi,kweli Magufuli ndiye aliwaingiza kimabavu lakini kwa vile Magu hayupo tena na hao ni wabunge maslahi watamuunga mkono yoyote aliyeko madarakani. Hao kundi la mazuzu hawana itikadi wala maono yoyote wanachojali ni matumbo yao ndiyo maana wanapitisha sheria za ajabu ajabu zikianza kuumiza wananchi wanashangaa zilipitaje pitaje.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha mkuu nakuona ukiamini sukuma gang Wana nguvu sana hahahaha hivi ni vichekesho kama vile vya Voda/tigo tu .

Hawana lolote na hawajawahi kuwa na lolote Hawa wa kupiga chini

Stori za wabunge ni zao la magu na Bado wanaamini kwenye upuuzi wa magu ni stori za kitoto tu sijui watapitisha azimio hawana imani na raisi (wakati wanapitisha ye amekaa tu akiwasubiri wajikusanye kusanye ) anawaachaje kulifuta bunge

Mkuu kifupi we ni mnufaika wa sukuma gang na unawapigia promo kijanja hawa wapuuzi wataondoka mmoja baada ya mwingine na hawatakuwa na Iyo nguvu uisemayo (wakitoka tu nje ya mfumo kwisha habari yao)
Sukuma gang mnawashambulia kwa sababu ni tishio kwenu na mnawapenda Msoga kwa sababu mnajua wadhaifu hahahahaaaa kazi ipo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umesema uongo sana. Eti watanzania hawajali nani yuko madarakani na CHAMA gani!! Lini tulipata Rais kutoka nje ya ccm hata tujue watanzania hawajali Chama?
CCM iko madarakani siyo kwa kuungwa mkono na Watanzania bali iko madarakani kwa wizi wa kura ulioratibiwa na vyombo vya dola.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Leo kwa mara ya kwanza Rais Samia amekuja hadharani na kukiri wazi kuwa anaongoza serikali iliyogawanyika vibaya, amezungukwa na wasaidizi wanao mhujumu wazi wazi na yuko kwenye vita kali ya kuupambania urais wake kwa hali na mali. Hali ni tete mnoo kwake, na hatakubali!

Bila kumumunya maneno, wacha tuuseme ukweli ili kumsaidia Rais Samia popote alipo na ikibidi utafute njia ya kutokea.

Kwanza niweke wazi jambo moja kubwa na muhimu, kwa sasa Rais Samia amepoteza uungwaji mkono kutoka makundi yote muhimu ya kijamii na kisiasa, yaani umechokwa. Hili halina ubishi na halihitaji takafari yote yote kubwa.

Kitendo cha mama Samia kuja hadharani na kukiri kuwa 'wenzake wanamzunguka' hivyo hatakubali! Hapo tunaona picha kubwa moja tu, maji yamezidi unga na mama Samia anahitaji msaada ili avuke.

Sasa kuna jambo moja kubwa pekee linaloweza kumuokoa mama Samia mahali alipo, hana ujanja inabidi alikimbilie. Kwa ufupi, jambo hilo ni;

Kutafuta muafaka wa kitaifa ili kuweza kuiunganisha nchi iliyoparaganyika vibaya kisiasa. Kama Samia hataweza kukaa na kumaliza tofauti zake na kundi kubwa la wafuasi wa Magufuli (sukuma gang) au wapinzani (hususani Chadema) basi ajue hawezi kutoboa. Hayo ndio makundi yenye nguvu kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, na kwa sasa yote mawili kwa pamoja (pasipo kuongozwa na mtu yoyote) yanasema wazi wazi kuwa mama Samia hafai, hatoshei kwenye kiti cha urais na hayamtaki tena. Huo ni uasi wa kisiasa.

Wakati ukuta, na majuto ni mjukuu, wenye hekima wameshaelewa!
Sukumagang hawana shida sana isipokuwa aache kuwadharau na kumponda mwenda zake hapo ndo wanapochukia ajitahid akamilishe miradi yote iliyoachwa na Magu Kama Bwawa la mwl Nyerere, Busisi, na Stgr na aachane na bandari ya Bwangamoyo, aache kuongozwa na kikwete na kundi la wahuni wake mafisadi et utamtoaji Kalemani harafu unamweka Makamba? harafu unamwacha Biteko We mzanzibar kichwa yako Iko Mabere kweli?, pili anatakiwa afanya mwafaka na hawa Chadema amtoe mtu wao jela FA mbowe hapo atakuwa amewin
 
Back
Top Bottom