Tulio tayari kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025, tujipongeze Kwa kulitendea haki Taifa

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,601
Pongezi za dhati na za kipekee ziende Kwa viongozi wetu wakuu wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi AbdulRahman Kinana na Waziri mkuu wa JMT Mhe. Kassim Majaliwa Kwa kuwa wapambanaji hodari wa kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025

Pongezi hizi Kwa viongozi hao ni katika kuonesha mchango mkubwa na Imani kubwa walio nayo Kwa Rais Samia na tamaa yao kubwa ni kuona CCM inakuwa Moja na kuwekeza nguvu kumsaidia Rais Samia. .

Kwa pamoja na wengine wenye kiu kubwa ya kuona na kushuhudia ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025 tuanze mapema kujipengeza Kwa kazi nzuri ya huko mbeleni.

Tuna Imani na hili Kwa sababu:

1. Maono ya Rais Samia ni halisi sio ya kusadikika

2. Uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia ni WA kiwango Cha juu

3. Imani ya wananchi Kwa Rais Samia ni kubwa na inaongezeka Kila Leo.

4. Amefungua nchi na uchumi.

5. Vijana hawajaachwa nyuma kwenye suala la ajira ,teuzi na uongozi hivyo kufanya Imani ya vijana kukua.

6. Amekuwa ni kiunganishi Cha makundi yote kwenye jamii. Ni mama wa wote

7. Dhamira yake ni njema Kwa nchi yetu, hapa tumpime Kwa maneno na matendo yake.

8. Anachukizwa na dhulma na anapenda haki.

Kwa kuwa ametupatia TABASAMU na nchi yetu kuwa ya nne Kwa furaha basi ni wakati wetu kumpa TABASAMU 2025.

Fuatana nami kwenye kampeni ya 2025 MPE MAMA TABASAMU
 
1710336078070.png
 
Hataki Chawa

Screenshot_2024-03-13-13-55-31-1.png
 
HATOGOMBEA!!
"Namba tatu ni................,namba moja ni mbaya mbaya mbaya mbaya sana,namba mbili ni mbaya mbayambaya sana,!!!namba Tano ni mzee wa awamu ya pili,namba nne ni nywele nyeupe!!namba tatu ni.........!!?

Unyakuo Tv,sio kwamba hatogombea coz ni namba moja au!!?

Aiseh!
 
CCM ni bingwa kwa kuvunja sheria za nchi.

Haya tuambie, haya makampeni yameanza kwa mujibu wa sheria ipi ya JMT?

Mnakera sana kujitia uchawa wakati mwenzenu amewakaanga kweupee kuwa hana makundi
 
"Namba tatu ni................,namba moja ni mbaya mbaya mbaya mbaya sana,namba mbili ni mbaya mbayambaya sana,!!!namba Tano ni mzee wa awamu ya pili,namba nne ni nywele nyeupe!!namba tatu ni.........!!?

Unyakuo Tv,sio kwamba hatogombea coz ni namba moja au!!?

Aiseh!
Please umetuacha, fungua hizi code please
 
Back
Top Bottom