Dr Mabuga 30
JF-Expert Member
- May 8, 2021
- 320
- 330
Exactly 💯Mnapokosea ni ile kusema ati asifanye kazi na watu wa Maguguli.I can tell you hapo mnakosea sana na mnataka kumwangusha.Wabunge wote waliyopo ni wa Magufuli.sasa unaposema ati asifanye kazi na watu wamagufuli what do you mean ?Hivi wakitaka kumwangusha si ni kupitisha azimio kule bugeni kuwa hawana Imani na Rais? What is so wrong akifanya kazi na watu wa Magufuli? Guys acheni kumpotosha rais wetu.Na akifanya vita na watu wa Magufuli vita hii itamshinda vibaya sana.Yawezekana kuna mahara JPM alikosea lakini makosa yake ni 5% ya mabaya yake compared to 95 % ya mazuri aliyoifanyia nchi hii.She better be careful na watu wa Magufuli. Mnapokosea etu watu wa Magufuli ni wasukuma.you are 100% wrong.
Hata wabunge wanaojifanya kuwa wanamchukia JPM wakati yeye ndiye aliyewapitisha na kuwanadi kwa waanchi,nao mwisho wao 2025.Nawashauri wafanye kazi kwa kufuata ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020 ,mambo mengini hayana faida kwa taifa letu.
Mama ukifanya vita na watu wa Magufuli iko siku watakurushia bomu la shutuma hutapona walahi.